Barua ya wazi kwa Paul Makonda

Mkuu katiba tunayo tayari inayopinga masuala hayo na ndio maana Mh Paul Makonda akaanzisha hiyo kampeni.

Iliwapasa viongozi wote na serikali kiujumla imuunge mkono
 
Kabisa kabisa. Ndio maana nkasema ni approach zilizotumika katika zile kampeni ndio hazikuwa sahihi
 
siku moja akiungwa mkono na wenye nguvu hizi harakati zake basi moja kwa moja watu watamuelewa zaidi huyu bwana
 
Nashindwa kuelewa kwanini uzi kama huu unakosa likes za kutosha.
Mzee kama kawaida, ingekuwa ni kuhusu upumbavu ungeona ambavyo likes zinaanguka. By the way, ni barua tu kwa Mh Paul Makonda. Naamini kaisoma na ataifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…