Barua ya wazi kwa Rais Mstaafu Kikwete kuhusiana na mzozo wa serikali ya rais Samia na CHADEMA

CHADEMA wasahaulifu sana

Hakuna Raisi aliyewahi tukanwa na kudhalilishwa na CHADEMA kama Kikwete kipindi cha utawala wake

Walimtukana hasa .Mleta mada mwacheni apumzike auguze majeraha ya matusi na fitina mlizomfanyia nyie CHADEMA kipindi cha utawala wake .Watu wakafa maelfu mahospitalini kwa migomo mliyohamssisha CHADEMA madaktari wagome.Msidhani tumesahau

Katika watu ambao wanauguza majeraha ya CHADEMA kwa sasa ni Kikwete na Mbowe
Waendelee kunyamaza tu

Kila mtu apambane na hali yake

Tusi gani alitukanwa na nani huyu Mzee?

Tusi moja tafadhali.
 
Si mlimuita dhaifu huyu
Wakati baba wa taifa akiwapo alijulikana kutomfumbia macho yeyote aliyethubutu kuichanganya nchi na shamba lake, yeye kama rais mstaafu. Uzi huu unahusika:

Mwalimu Nyerere: Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Asiyeheshimu katiba hatufai

Mahsusi kwenye kutenganisha nchi na shamba la bibi.

Mheshimiwa Kikwette unayo nafasi yako adimu sana, kwenye kusawazisha mambo hapa. Wazee Warioba na Butiku wamesikika. Sauti yako faraghani na hadharani inatakikana sasa labda kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi hii.

Hebu uvunje ukimya wako na hii nchi ikapone.

Ukichagua kukaa kimya wewe kama rais mstaafu utakuwa na faida ipi kwenye nchi hii kama tuendako, ni dhahiri kutahatibika?

Kwamba waje watu kutoka kuja kusuluhisha nini wakati ungalipo hai na ukiywpata marupurupu yote kama rais mstaafu?

Pia soma: #COVID19 - Waraka wa wazi kwa Marais wetu Wastaafu kuhusiana na hali ya Corona nchini

Ilipokuwa lazima kukuitisha na wenzako mapema mno kabla ya hatari. Hudhani kuwa hata hapo yawezekana tulichelea mwana kulea?

Pia soma: Mzozo wa Rais Samia na CHADEMA wakiwamo wadau wengine ni kuwa: "yeye hataki uchaguzi wa haki." Nani wa kumfunga paka kengele?

Kwako Mheshimiwa sana Rais Kikwette.

Ninawasilisha.
hivi sasa Amechapata nguvu baada ya kustasfu?
Mgogoro wenu na Rais ni kubwa dini yake, asili yake na jinsia yake combined.
Hakuna lolote wengine wanaingizwa kucheza Ngoma wasioijua tu hapo lakini Siri ndio hiyo.
 
Mwache apuuze miito ya kiungwana hii. Kipi hakiwezi kuwa subject to review?
Alitwambia akili za mbayuwayu changa ya na zakwako labda Kisha changaya ameona Bora akae kimya

Expecting results from what you know

Nisawa na kutegemea matokeo chanya kwenye jambo unalo lijua

Kutegemea kupata pisi Kali ukijua kwamba huna pesa
 
Kikwete mwenyewe alizingua kipindi cha mkutano wa ccm pale Dodoma.
Aliombwa ushauri akawashauri wenzake vibaya!
Ni kama Kikwete hana busara tena za kukishauri chama na serikali!

Ngoja tujaribu kusameheana x 7 x 70 na hasa ikizingatiwa kosa moja halifukuzishi mke. Vinginevyo malaika tukawapate wapi?

imhotep na wale wengine au nasema uongo?
 
Si mlimuita dhaifu huyu

hivi sasa Amechapata nguvu baada ya kustasfu?
Mgogoro wenu na Rais ni kubwa dini yake, asili yake na jinsia yake combined.
Hakuna lolote wengine wanaingizwa kucheza Ngoma wasioijua tu hapo lakini Siri ndio hiyo.

Kwani udhaifu ni tusi? Au Assad alipolitumia naye alitukana?

Kwamba ni ushauri wako kwake asuse kwa sababu aliitwa dhaifu? Kumbe utoto utakuwa nini basi?

Hii mbona ni fursa adhimu mno kwake kujiwekea heshima yake hata katika utawala usiokuwa wa CCM.

Wangapi wakitokea jela wakaenda ikulu?

Au mngependa mwendelezo wa Trump wa kupigana chini Hadi security details?

Yapigie mstari maneno haya.
 
Huyo Mzee alikuwa ni mwanademokrasia na ustawi wetu ulianzia kwake.

Huyu anajua siasa hata aliridhia ule mchakato wa katiba mpya na kulala mbele na yule mwamba wa wafanya biashara wa ifakara.
 
Yaani umtegemee kabisa huyo?

Wapi unasoma au umesoma nimemtegemea mtu?

GGF0_1lWsAAoM5D.jpeg

Hutaki hata kumpa nafasi ya kujisafisha hata kama ana tuhuma?

Au labda ungependa malaika atoke wapi?

Drifter, imhotep au angependekezwe mtu tokea chaumma?
 
Alitwambia akili za mbayuwayu changa ya na zakwako labda Kisha changaya ameona Bora akae kimya

Expecting results from what you know

Nisawa na kutegemea matokeo chanya kwenye jambo unalo lijua

Kutegemea kupata pisi Kali ukijua kwamba huna pesa

Trump ka review Hadi security details za watu. Huyu mwamba anazo sababu za kujisafisha. Kuna na kesho na aijuaye ni Mola. Zingatia rais Senegal alitokea Segerea kwenda ikulu lakini so kama mwamba.
 
Wakati baba wa taifa akiwapo alijulikana kutomfumbia macho yeyote aliyethubutu kuichanganya nchi na shamba lake, yeye kama rais mstaafu. Uzi huu unahusika:

Mwalimu Nyerere: Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Asiyeheshimu katiba hatufai

Mahsusi kwenye kutenganisha nchi na shamba la bibi.

Mheshimiwa Kikwete unayo nafasi yako adimu sana, kwenye kusawazisha mambo hapa. Wazee Warioba na Butiku wamesikika. Sauti yako faraghani na hadharani inatakikana sasa labda kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi hii.

Hebu uvunje ukimya wako na hii nchi ikapone.

Ukichagua kukaa kimya wewe kama rais mstaafu utakuwa na faida ipi kwenye nchi hii kama tuendako, ni dhahiri kutahatibika?

Kwamba waje watu kutoka kuja kusuluhisha nini wakati ungalipo hai na ukiywpata marupurupu yote kama rais mstaafu?

Pia soma: #COVID19 - Waraka wa wazi kwa Marais wetu Wastaafu kuhusiana na hali ya Corona nchini

Ilipokuwa lazima kukuitisha na wenzako mapema mno kabla ya hatari. Hudhani kuwa hata hapo yawezekana tulichelea mwana kulea?

Pia soma: Mzozo wa Rais Samia na CHADEMA wakiwamo wadau wengine ni kuwa: "yeye hataki uchaguzi wa haki." Nani wa kumfunga paka kengele?

Kwako Mheshimiwa sana Rais Kikwette.

Ninawasilisha.
Kikwete nchi ilimshinda ataweza nini sasa
 
Kikwette alipotekwa Ulimboka alimpeleka tiba hadi kwa Madiba.

Wako wapi Soka, Mdude, Kibao na wengi wengine?

Kikwette alianzisha mchakato wa katiba mpya, kipindi chake wabunge upinzani wakiongezeka.

Nk nk.

Labda ungependa malaika tukawaokote wapi au?
 
Back
Top Bottom