Barua ya wazi kwa Rais Samia juu ya mwenendo, kiburi, dharau na majivuno ya Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchimbi

Punguza kufitinisha na KUFATILIA MAISHA ya watu...ww maisha yako Nani anayekufatilia?....,mnatoa hoja za chuki na husda kwa binadamu mwenzetu as if nyny niwakamilifu.
 
Katiba mpya, katiba mpya katiba mpya
Binafsi napenda namna raisi samia anavyoongoza nchi. Ni mtulivu , msikivu na haropoki ropoki .
Kama umaskini bado unaongezeka hayo yote ni kazi bure.

Ukiwa mtulivu na msikivu alafu bado Kuna mamilioni ya watu hawajui milo mitatu ipoje. bado ni kazi bure
 
Kama umaskini bado unaongezeka hayo yote ni kazi bure.

Ukiwa mtulivu na msikivu alafu bado Kuna mamilioni ya watu hawajui milo mitatu ipoje. bado ni kazi bure
Ni lini watz walishawahi kuwa na uhakika wa milo mitatu ???
Aliyejiita mzalendo alijiuzia maghorofa ya NIC pale dodoma kwa bei ya kutupwa
Endeleen ku spin
 
Sorry tupo busy kufungua rasmi nyumba yetu huu umbea wako hauna nafasi hapa!
 
Ni lini watz walishawahi kuwa na uhakika wa milo mitatu ???
Aliyejiita mzalendo alijiuzia maghorofa ya NIC pale dodoma kwa bei ya kutupwa
Endeleen ku spin
Hakuna nilipo-spin. Lengo la kuingia kiongozi fulani huwa ni kubadilisha na kuleta tumaini. Kama huko nyuma wengi hawakua na uhakika wa milo mitatu sio sababu pia na wa sasa aturudishe huko.

Ndio maana nikasema hayo ya usikivu au sijui upole ni kazi bure ikiwa bado mamilioni hawana uhakika wa chakula
 
mwigulu kaza hapohapo kwa maslai mapana ya nchi
chadema tumewashitukia kuwatumia wafanya biashara vibaya
 
Umekwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…