Barua ya wazi kwa Rais Samia: lose lips sink ships

cc: Shehe Mwaipopo
 
Shule nzuri sana kwa asiye na hiyana. Ndio maana JF ni kitovu cha maarifa. Sikio la kufa halisikii dawa, je ndiyo tutashuhudia?
 
Jambo moja tu ambalo hukutakiwa kulisema ni kwamba Ulijikwaa pale kwenye mauaji ya marehemu Mzee Mzee Kibao na utakeji mwingine, ambao mpaka sasa kuna ushahidi kwamba uliratibiwa na watu wa mfumo
Naomba kuzungumzia heading yako "lose lips sink ships" anamaanisha nani ana lose lips?, maana ukizungumzia lips, wengine mawazo yanatupeleka mbali, ukisema lips, kuna lips na lips, na kuna uhusiano wa synchronisation kati ya lips zile na zile, hivyo mtu akiwa na loose lips, zina synchronisation zote kuwa loose,, ndio maana nakuuliza nani ana loose lips?
P
 
Hii jamii forum ingekuwa na watu kama wewe ingependeza sana. Siyo kija Lucas
 
Mkuu hongera,umemaliza kila kitu🔨🔨
 
Aisee, The Big Tanker naona umeandika. Hizo ndiyo brain and unfortunately zitapatikana kwenye hidden IDs, lakini kule Ikulu na kwenginepo serikalini hauwezi kuzipata as if qualifications za kuwa kule moja wapo ni to empty your mind.
Big up sana
 
Aisee, The Big Tanker naona umeandika. Hizo ndiyo brain and unfortunately zitapatikana kwenye hidden IDs, lakini kule Ikulu na kwenginepo serikalini hauwezi kuzipata as if qualifications za kuwa kule moja wapo ni to empty your mind.
Big up sana
Usikute yupo Ikulu, Mwamba Huwa ana madini sana, kiufupi anaijua siasa ya nchi na dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…