Barua ya wazi kwa Rais Samia: lose lips sink ships

Putin anaifanya Ukraine anavyotaka na hakuna chochote ambacho mmarekani tunayempapatikia anaweza kumfanya.

Rais kasema ataongea na marais wenzake kuhusu mienendo ya mabalozi wao hapa nchini, mamlaka hayo anayo kikatiba.

Tatizo wenye kuandika uzi wa aina hii ni wale wale wanaodhani wanafahamu diplomasia kuliko wataalam wa wizara ya mambo ya nje.
 
Eti KIFO ni KIFO TU!

Hii kauli naendelea kuitafakari.

Kwenye mauaji yanayoendelea ya raia wenzetu, kwa sisi Watanganyika ambao si watu wa System, Serikali, CCM, Askari na ndugu zao hatuko salama kwa Serikali iliyopo madarakani 😭😭😭😭😭.

GOD BLESS TANGANYIKA.
 
In case you were wondering about the meaning of lose lips sink ships

Here I am to enlight you.!!!!!
It means that careless talk or sharing sensitive information can have serious consequences, potentially leading to harm or danger. The phrase was used to remind people to be cautious about revealing military secrets or other confidential information that could aid the enemy
 
A good narrative - congrats!
 
Marekani anapeleka misaada ya mabilioni Ukraine na kaiwekea vikwazo vya kila aina Russia ya Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…