Barua ya wazi kwa Rais Samia: lose lips sink ships

 

Attachments

  • 5828116-3deca1cd82eed06379e0266b4db1399a.mp4
    25.6 MB
Ujumbe mzuri,lakini simple mind waliojaa CCM, hawataelewa, kuna haja rais wa nchi awe hata na masters, sio huyu kilaza, mwenye CV ya katibu kata
 
Umenikumbusha nguruvi 3 na Mag3 walikuwa wakiandika unatulia kama unanyolewa...
Akina a
thank you
barafu na Magamba matatu
Elimu nzuri sana. So kuna uwezekano wa watu kuja kushtakiwa mahakama za kimataifa kwa mauaji na utekaji unaoendelea?
state sponsored
 
Super explanation.!
 
Umeandika mengi sana lakini nimeshindwa kumalizia kwa sababu unaamini seeikali imehusika kuua wananchi wake. How sure you are? Kwa maneno kuwa Kibao alishushwa na watu wenye silaha, ni sababu tosha kusema serikali imehusika.?

Serikali ni nini?
Nani ni serikali?

Lakini pia inaonekana hukufurahi mataifa ya nje kuingia mambo ya ndani ya nchi. Kwani mpaka marekani inasema, serikali ilikuwa haijatoa kauli?
 
Uzuri hii barua ya wazi inaweza isimfikie ila inatuelimisha zaidi wale wa mama anaupiga mwingi. Pia mambo mazuri kama haya sifurahi yakimfikia ili aendelee kuonyesha ni mtu wa namna gani.
 
Andiko fupi hivi limekushinda? Kweli wafrika tuna shida
 
(Kumbuka Paul Makonda) au kuunga mkono makundi ya kisiasa ndani ya nchi ili yakutoe kimabavu (Jambo la hatari zaidi)
Ushauri mzuri japo wameziba pamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…