Barua ya wazi kwa Rais Samia: lose lips sink ships

Atazipangua UCD Makupa Etwege Tlaatlaah hao ndio wanasheria wa chama dola
mimi ni mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi na sio mwanasheria wa chama chochote cha siasa..

nimemtuma kijana wangu asome barua hiyo ya maana sana na aisamarise ili nipate kuchangia hoja hiyo muhimu sana,

so nitachangia kwa kirefu kidogo baadae 🐒
 
Umemaliza Kila kitu. Case closed
 
Umemsahau mwanasheria wa chama dola bwana Pascal Mayalla
Mimi sio mwanasheria wa chama bali ni mwanachama tuu,!, Mimi ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea na sasa pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea nikijikita kwenye utoaji ushauri wa kisheria (legal opinion) bure, na utoaji elimu ya katiba, sheria na haki Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten na wavivu wa kufollow links
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=XfEXf0gqzXNxKh9MKaribu nikuhudumie
P
 
Hii nchi tuna watu I see.

Unatakiwa kuwa miongoni mwa washauri wa raisi.

Asante na ubarikiwe sana.
 
Huyu anajua kila kitu wala msiwasingizie kuwa watu wanampa taarifa za uwongo. Huyu kwake madaraka matamu ila akijipima kupitia uchaguzi anaona hatatoboa ndiyo maana ameamua kugeuza hivi vyombo kuwa magege ya uhalifu dhidi ya wapinzani. Na kwa bahati mbaya sana sasa hivi magenge haya yatumia huo mwanya kufanya uhalifu hata kwa wasio wanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…