Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Labda waziri wa majambaziFamily ya GSM na mafisadi hawawezi kumuelewa RC MAKONDA jiandae kuwa waziri.

Wanao mkingia kifua na kumpa sapoti ni wajinga wenzakeSema Daudi Albert Bashite ana wajinga wengi sana wanao muunga mkono. Na mmojawapo bila shaka ni wewe mtoa mada.
Pipa na funikoMakini sana
Unafikiri kila mtu anatamaa kama wewe?Kwanini nafasi yake usingekua wewe
Mwambieni aende usaAnafaa tusimpuuze Makonda
Inakuwa ni ngumu kupigana na upepoWewe huo uwerevu wako umewahi kua hata mtendaji wa huko kijijini kwenu Tandahimba?
Naunga mkono hojaHafai hata kuwa kiongozi wa familia
Kawadanganye mandunya wenzakoSio kweli kwamba wanaomshabikia Makonda kwamba wote ni wajinga, bali ni watu waliokandamizwa na mfumo wa uongozi wa CCM.
Anachokifanya Makonda(na hili analijua wazi) ni kwenda kinyume na mfumo uliozoeleka wa hicho chama ambao hauna tija na ambao pia wananchi wameshauchoka...Mfumo wa meneno mengi matendo kidogo, mfumo ulijaa rushwa na ulaghai pamoja na ukandamizaji.
Anapotokea mtu anayeenda tofauti ni lazima wamshabikie.
Anachofanya Makonda ni kucheza na 'mwanya'.
Nasikia kwao Koromije aligombea uenyekiti wa nyumba 10 akapata kura 1 TuHata ubalozi wa nyumba 10 nasikia hujawahi kuupata
Hautaki au?Kumbe unasikia tu
NdioHautaki au?
Humsaidii, unampoteza! Mtu anayempenda ni yule anayemwonyesha mazuri yake (to affirm the good in others) na kasoro anazotakiwa kurekebisha ili azidi kufanya vizuri zaidi. Lakini kudhani anayoyafanya ndiyo best, ni kumdanganya! Anatakiwa ajifunze kuwa effective leader (kiongozi bora) na uongozi bora ni ule unaoanza na kuwaheshimu wengine na unaotambua kuwa cheo ni dhamana/utumishi na siyo means ya kuonyesha mamlaka yako au kuwafanyia watu wakiwa mbele yako wakuogope/wajue hawako salama na waishi kwa wasiwasi.Mheshimiwa Makonda, Salaam. Nataka nikupe pongezi zangu za dhati kwa kasi ya utendaji wako na jinsi unavyo lipigania taifa la Tanzania. Kuna watu wanafikiria tofauti na unavyo fikiria wewe. Wewe unamawazo chanya una kipawa cha uongozi usiyumbishwe na wale wanao kukatisha tamaa. Hao wanachukia wanapoona nyota yako iking'aa kinyume na matarajio yao, hivyo wanakutafutia visababu ili kuweza kukuangusha. Wanawatuma watu waongee wanayo yaongea, amini kwamba hao ni vipaza sauti tu kuna watu walio watuma.
Wakati ukitetea hali za wamama wanao nyanyaswa Arusha sikuwaona UWT wala TAMWA wakikupongeza, umesaidia wamama wengi kupata haki zao, wengi walio najisiwa watoto wao umewapa haki hakuna aliye kupongeza! Lakini ulipomkemea yule mtendaji wa serikali kwa uzembe wa kutotekeleza majukumu yake na kufikia hatua ya kuathiri maelfu ya wananchi waliibuka na kusema kwamba umekosea na kutaka kwamba eti uwajibishwe!
Kuna watendaji waliozoea kula rushwa. Ulipoanzisha uchunguzi kwenye mifumo ya malipo ya serikali wengi hawakupenda, ni wale wanao nufaika na mfumo huu maana wanajua sasa wameumbuka kwa kuchepusha pesa za serikali, na kupitia wewe mifumo yote Tanzania nzima ni lazima ichunguzwe.
Utashangaa pale utakapo fanya vizuri hawata kupongeza, watakaa kimya ila pale utakapo teleza utawasikia kwenye vyombo vya habari wakikuchongea kwa viongozi wajuu kwa maneno ya hapa na pale.
Mkuu nikwambie kitu kimoja songa mbele usirudi nyuma wala kukata tamaa, kuna mamilioni ya watanzania wanakutazama, wanakukubali na wanaona kasi ya utendaji wako wa kazi. Wewe ni dhahabu ili uweze kung'aa ni lazima upite kwenye moto.
Nakutakia utendaji mwema katika kazi yako.
Mkuu itakua either huna akili au una chuki ya kurithishwa. Samahani lakini!!!Sema Daudi Albert Bashite ana wajinga wengi sana wanao muunga mkono. Na mmojawapo bila shaka ni wewe mtoa mada.
Hiyo samahani ungemuomba Bi Mkubwa wako aliyekubali kuzaa mtoto kama wewe, na mtu asiyekuwa na akili.Mkuu itakua either huna akili au una chuki ya kurithishwa. Samahani lakini!!!
Huna akiliMakonda hafai kuwa kiongozi wa umma
Shukrani kwa andiko zuri umemtendea haki kwa niaba ya watanzania wengi sana,hongera sanaMheshimiwa Makonda, Salaam. Nataka nikupe pongezi zangu za dhati kwa kasi ya utendaji wako na jinsi unavyo lipigania taifa la Tanzania. Kuna watu wanafikiria tofauti na unavyo fikiria wewe. Wewe unamawazo chanya una kipawa cha uongozi usiyumbishwe na wale wanao kukatisha tamaa. Hao wanachukia wanapoona nyota yako iking'aa kinyume na matarajio yao, hivyo wanakutafutia visababu ili kuweza kukuangusha. Wanawatuma watu waongee wanayo yaongea, amini kwamba hao ni vipaza sauti tu kuna watu walio watuma.
Wakati ukitetea hali za wamama wanao nyanyaswa Arusha sikuwaona UWT wala TAMWA wakikupongeza, umesaidia wamama wengi kupata haki zao, wengi walio najisiwa watoto wao umewapa haki hakuna aliye kupongeza! Lakini ulipomkemea yule mtendaji wa serikali kwa uzembe wa kutotekeleza majukumu yake na kufikia hatua ya kuathiri maelfu ya wananchi waliibuka na kusema kwamba umekosea na kutaka kwamba eti uwajibishwe!
Kuna watendaji waliozoea kula rushwa. Ulipoanzisha uchunguzi kwenye mifumo ya malipo ya serikali wengi hawakupenda, ni wale wanao nufaika na mfumo huu maana wanajua sasa wameumbuka kwa kuchepusha pesa za serikali, na kupitia wewe mifumo yote Tanzania nzima ni lazima ichunguzwe.
Utashangaa pale utakapo fanya vizuri hawata kupongeza, watakaa kimya ila pale utakapo teleza utawasikia kwenye vyombo vya habari wakikuchongea kwa viongozi wajuu kwa maneno ya hapa na pale.
Mkuu nikwambie kitu kimoja songa mbele usirudi nyuma wala kukata tamaa, kuna mamilioni ya watanzania wanakutazama, wanakukubali na wanaona kasi ya utendaji wako wa kazi. Wewe ni dhahabu ili uweze kung'aa ni lazima upite kwenye moto.
Nakutakia utendaji mwema katika kazi yako.
Naunga mkono hojaMheshimiwa Makonda, Salaam. Nataka nikupe pongezi zangu za dhati kwa kasi ya utendaji wako na jinsi unavyo lipigania taifa la Tanzania. Kuna watu wanafikiria tofauti na unavyo fikiria wewe. Wewe unamawazo chanya una kipawa cha uongozi usiyumbishwe na wale wanao kukatisha tamaa. Hao wanachukia wanapoona nyota yako iking'aa kinyume na matarajio yao, hivyo wanakutafutia visababu ili kuweza kukuangusha. Wanawatuma watu waongee wanayo yaongea, amini kwamba hao ni vipaza sauti tu kuna watu walio watuma.
Wakati ukitetea hali za wamama wanao nyanyaswa Arusha sikuwaona UWT wala TAMWA wakikupongeza, umesaidia wamama wengi kupata haki zao, wengi walio najisiwa watoto wao umewapa haki hakuna aliye kupongeza! Lakini ulipomkemea yule mtendaji wa serikali kwa uzembe wa kutotekeleza majukumu yake na kufikia hatua ya kuathiri maelfu ya wananchi waliibuka na kusema kwamba umekosea na kutaka kwamba eti uwajibishwe!
Kuna watendaji waliozoea kula rushwa. Ulipoanzisha uchunguzi kwenye mifumo ya malipo ya serikali wengi hawakupenda, ni wale wanao nufaika na mfumo huu maana wanajua sasa wameumbuka kwa kuchepusha pesa za serikali, na kupitia wewe mifumo yote Tanzania nzima ni lazima ichunguzwe.
Utashangaa pale utakapo fanya vizuri hawata kupongeza, watakaa kimya ila pale utakapo teleza utawasikia kwenye vyombo vya habari wakikuchongea kwa viongozi wajuu kwa maneno ya hapa na pale.
Mkuu nikwambie kitu kimoja songa mbele usirudi nyuma wala kukata tamaa, kuna mamilioni ya watanzania wanakutazama, wanakukubali na wanaona kasi ya utendaji wako wa kazi. Wewe ni dhahabu ili uweze kung'aa ni lazima upite kwenye moto.
Nakutakia utendaji mwema katika kazi yako.
Hili la Makonda linaendelea kunithibitishia kwamba tatizo la afya ya akili hapa nchini ni kubwa kuliko tunavyofikiri!!Mheshimiwa Makonda, Salaam. Nataka nikupe pongezi zangu za dhati kwa kasi ya utendaji wako na jinsi unavyo lipigania taifa la Tanzania. Kuna watu wanafikiria tofauti na unavyo fikiria wewe. Wewe unamawazo chanya una kipawa cha uongozi usiyumbishwe na wale wanao kukatisha tamaa. Hao wanachukia wanapoona nyota yako iking'aa kinyume na matarajio yao, hivyo wanakutafutia visababu ili kuweza kukuangusha. Wanawatuma watu waongee wanayo yaongea, amini kwamba hao ni vipaza sauti tu kuna watu walio watuma.
Wakati ukitetea hali za wamama wanao nyanyaswa Arusha sikuwaona UWT wala TAMWA wakikupongeza, umesaidia wamama wengi kupata haki zao, wengi walio najisiwa watoto wao umewapa haki hakuna aliye kupongeza! Lakini ulipomkemea yule mtendaji wa serikali kwa uzembe wa kutotekeleza majukumu yake na kufikia hatua ya kuathiri maelfu ya wananchi waliibuka na kusema kwamba umekosea na kutaka kwamba eti uwajibishwe!
Kuna watendaji waliozoea kula rushwa. Ulipoanzisha uchunguzi kwenye mifumo ya malipo ya serikali wengi hawakupenda, ni wale wanao nufaika na mfumo huu maana wanajua sasa wameumbuka kwa kuchepusha pesa za serikali, na kupitia wewe mifumo yote Tanzania nzima ni lazima ichunguzwe.
Utashangaa pale utakapo fanya vizuri hawata kupongeza, watakaa kimya ila pale utakapo teleza utawasikia kwenye vyombo vya habari wakikuchongea kwa viongozi wajuu kwa maneno ya hapa na pale.
Mkuu nikwambie kitu kimoja songa mbele usirudi nyuma wala kukata tamaa, kuna mamilioni ya watanzania wanakutazama, wanakukubali na wanaona kasi ya utendaji wako wa kazi. Wewe ni dhahabu ili uweze kung'aa ni lazima upite kwenye moto.
Nakutakia utendaji mwema katika kazi yako.
Hata wewe huna piaHuna akili
Ukute hii ni I'd nyingine ya makonda ameamua kujipigia chapuo hapaMheshimiwa Makonda, Salaam. Nataka nikupe pongezi zangu za dhati kwa kasi ya utendaji wako na jinsi unavyo lipigania taifa la Tanzania. Kuna watu wanafikiria tofauti na unavyo fikiria wewe. Wewe unamawazo chanya una kipawa cha uongozi usiyumbishwe na wale wanao kukatisha tamaa. Hao wanachukia wanapoona nyota yako iking'aa kinyume na matarajio yao, hivyo wanakutafutia visababu ili kuweza kukuangusha. Wanawatuma watu waongee wanayo yaongea, amini kwamba hao ni vipaza sauti tu kuna watu walio watuma.