Barua ya wazi kwa RC Paul Makonda

Kawadanganye mandunya wenzako
 
Humsaidii, unampoteza! Mtu anayempenda ni yule anayemwonyesha mazuri yake (to affirm the good in others) na kasoro anazotakiwa kurekebisha ili azidi kufanya vizuri zaidi. Lakini kudhani anayoyafanya ndiyo best, ni kumdanganya! Anatakiwa ajifunze kuwa effective leader (kiongozi bora) na uongozi bora ni ule unaoanza na kuwaheshimu wengine na unaotambua kuwa cheo ni dhamana/utumishi na siyo means ya kuonyesha mamlaka yako au kuwafanyia watu wakiwa mbele yako wakuogope/wajue hawako salama na waishi kwa wasiwasi.
 
Shukrani kwa andiko zuri umemtendea haki kwa niaba ya watanzania wengi sana,hongera sana
 
Naunga mkono hoja
- Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

- Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza

- Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

- Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

- Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

- Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?.

- Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

P
 
Hili la Makonda linaendelea kunithibitishia kwamba tatizo la afya ya akili hapa nchini ni kubwa kuliko tunavyofikiri!!
 
Ukute hii ni I'd nyingine ya makonda ameamua kujipigia chapuo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…