AMINAMheshimiwa Makonda, Salaam. Nataka nikupe pongezi zangu za dhati kwa kasi ya utendaji wako na jinsi unavyo lipigania taifa la Tanzania. Kuna watu wanafikiria tofauti na unavyo fikiria wewe. Wewe unamawazo chanya una kipawa cha uongozi usiyumbishwe na wale wanao kukatisha tamaa. Hao wanachukia wanapoona nyota yako iking'aa kinyume na matarajio yao, hivyo wanakutafutia visababu ili kuweza kukuangusha. Wanawatuma watu waongee wanayo yaongea, amini kwamba hao ni vipaza sauti tu kuna watu walio watuma.
Wakati ukitetea hali za wamama wanao nyanyaswa Arusha sikuwaona UWT wala TAMWA wakikupongeza, umesaidia wamama wengi kupata haki zao, wengi walio najisiwa watoto wao umewapa haki hakuna aliye kupongeza! Lakini ulipomkemea yule mtendaji wa serikali kwa uzembe wa kutotekeleza majukumu yake na kufikia hatua ya kuathiri maelfu ya wananchi waliibuka na kusema kwamba umekosea na kutaka kwamba eti uwajibishwe!
Kuna watendaji waliozoea kula rushwa. Ulipoanzisha uchunguzi kwenye mifumo ya malipo ya serikali wengi hawakupenda, ni wale wanao nufaika na mfumo huu maana wanajua sasa wameumbuka kwa kuchepusha pesa za serikali, na kupitia wewe mifumo yote Tanzania nzima ni lazima ichunguzwe.
Utashangaa pale utakapo fanya vizuri hawata kupongeza, watakaa kimya ila pale utakapo teleza utawasikia kwenye vyombo vya habari wakikuchongea kwa viongozi wajuu kwa maneno ya hapa na pale.
Mkuu nikwambie kitu kimoja songa mbele usirudi nyuma wala kukata tamaa, kuna mamilioni ya watanzania wanakutazama, wanakukubali na wanaona kasi ya utendaji wako wa kazi. Wewe ni dhahabu ili uweze kung'aa ni lazima upite kwenye moto.
Nakutakia utendaji mwema katika kazi yako.
Anajaribu kwenda kinyume na mfumo uliokwishakuchokwa na Wananchi ππ€Sio kweli kwamba wanaomshabikia Makonda kwamba wote ni wajinga, bali ni watu waliokandamizwa na mfumo wa uongozi wa CCM.
Anachokifanya Makonda(na hili analijua wazi) ni kwenda kinyume na mfumo uliozoeleka wa hicho chama ambao hauna tija na ambao pia wananchi wameshauchoka. Mfumo wa maneno mengi matendo kidogo, mfumo ulijaa rushwa na ulaghai pamoja na ukandamizaji.
Anapotokea mtu anayeenda tofauti ni lazima wamshabikie.
Anachofanya Makonda ni kucheza na 'mwanya'.
Alianza Hitler hivi hivi kisha akaja kuwa Mkuu wa Nchi yenye nguvu Germany π©πͺ ππHata dictator Hitra alikua na mashabiki wake
Lakini tukumbuke hivyo vyeo anavyopewa huwa hapewi na hao wanaomsapoti humu mtandaoni wala sio wa kutoka mitaani ππ³Wanao mkingia kifua na kumpa sapoti ni wajinga wenzake
Nyota imezidi kungβaa mpaka Magogoni inaelekea ππ³KAMA HAWA??
MCHUNGAJI KUTOKA NCHINI BURUNDI AFIKA ARUSHA KUMSAKA MAKONDA - ASEMA AMETUMWA na MUNGU..
Yaani mpaka leo bado unakauli za zamani Cheo ni dhamana... We unafikiri anachofanya hakijui? Yeye yupo tayari kufukuzwa hata kesho!Humsaidii, unampoteza! Mtu anayempenda ni yule anayemwonyesha mazuri yake (to affirm the good in others) na kasoro anazotakiwa kurekebisha ili azidi kufanya vizuri zaidi. Lakini kudhani anayoyafanya ndiyo best, ni kumdanganya! Anatakiwa ajifunze kuwa effective leader (kiongozi bora) na uongozi bora ni ule unaoanza na kuwaheshimu wengine na unaotambua kuwa cheo ni dhamana/utumishi na siyo means ya kuonyesha mamlaka yako au kuwafanyia watu wakiwa mbele yako wakuogope/wajue hawako salama na waishi kwa wasiwasi.
Mbio za sakafuni huishia ukingoni! Effective leaders ni wale wanao'study' situation (wanafanya situational/social analysis) na kisha kupanga mikakati na kukitekeleza. Then, wanapima (evaluate) kama wanahitaji kurekebisha au kuongeza nguvu. Wenye hulka ya kazi hawana huo muda na wala hawapimi kama wamefanikiwa au la. Watu kama hawa ingawa kwa watu wakawaida wanawaona wachapakazi, siyo watu wenye maono. Nchi zetu hizi zinahitaji effective leaders na si wenye hulka ya kazi. Cheo ni dhamana siyo msamiati wa zamani, bali ni kwamba cheo Leo unacho na kesho huna. Siyo personal property, ni service. Sasa kuna watu wana behave as if cheo walichonacho ni mali binafsi. Hii dhana ndiyo inayosababisha baadhi ya viongozi kuwa dictatorial au arbitrary na mara nyingi kwa vile wanadhani might is right they end up in mental burnout na kujiona watu hawaielewi, wakati wao ndio walipaswa wawaelewe watu in the first place.Yaani mpaka leo bado unakauli za zamani Cheo ni dhamana... We unafikiri anachofanya hakijui? Yeye yupo tayari kufukuzwa hata kesho!
Hiyo ndiyo hulka yake ta utendaji kazi! Hana tabia ya kujibembekeza bali ni kazi kazi!
Arusha ghafla kuwejuwa na joti aisee!
π³πMakonda ni zaidi ya rais wa sasa.anapiga kazi vizuri sana.wanaomchukia ni wale tu wenye ukichaa ambao Hawazidi hata ishirini dhidi ya wanaompenda wenye afya ya akili zaidi ya milioni 59.
Effective leaders ni wale wanaoanza kwanza kwa kuusoma mchezo ulivyo na wakoje waliomzunguka ,Mbio za sakafuni huishia ukingoni! Effective leaders ni wale wanao'study' situation (wanafanya situational/social analysis) na kisha kupanga mikakati na kukitekeleza. Then, wanapima (evaluate) kama wanahitaji kurekebisha au kuongeza nguvu. Wenye hulka ya kazi hawana huo muda na wala hawapimi kama wamefanikiwa au la. Watu kama hawa ingawa kwa watu wakawaida wanawaona wachapakazi, siyo watu wenye maono. Nchi zetu hizi zinahitaji effective leaders na si wenye hulka ya kazi. Cheo ni dhamana siyo msamiati wa zamani, bali ni kwamba cheo Leo unacho na kesho huna. Siyo personal property, ni service. Sasa kuna watu wana behave as if cheo walichonacho ni mali binafsi. Hii dhana ndiyo inayosababisha baadhi ya viongozi kuwa dictatorial au arbitrary na mara nyingi kwa vile wanadhani might is right they end up in mental burnout na kujiona watu hawaielewi, wakati wao ndio walipaswa wawaelewe watu in the first place.
Kwahiyo wewe kutuchanganyishia hicho kiingereza ndounajiona umesoma na nikiongozi bora? Pumbafu!Mbio za sakafuni huishia ukingoni! Effective leaders ni wale wanao'study' situation (wanafanya situational/social analysis) na kisha kupanga mikakati na kukitekeleza. Then, wanapima (evaluate) kama wanahitaji kurekebisha au kuongeza nguvu. Wenye hulka ya kazi hawana huo muda na wala hawapimi kama wamefanikiwa au la. Watu kama hawa ingawa kwa watu wakawaida wanawaona wachapakazi, siyo watu wenye maono. Nchi zetu hizi zinahitaji effective leaders na si wenye hulka ya kazi. Cheo ni dhamana siyo msamiati wa zamani, bali ni kwamba cheo Leo unacho na kesho huna. Siyo personal property, ni service. Sasa kuna watu wana behave as if cheo walichonacho ni mali binafsi. Hii dhana ndiyo inayosababisha baadhi ya viongozi kuwa dictatorial au arbitrary na mara nyingi kwa vile wanadhani might is right they end up in mental burnout na kujiona watu hawaielewi, wakati wao ndio walipaswa wawaelewe watu in the first place.
Kama hukusoma siyo tatizo langu. Nina uhuru kutumia lugha ambayo nimewekeza kwa mawasiliano. Makonda si mali yako. As long as he's a public figure is subject to criticism of what he's doing or not doing whether you like it or not. I'm also free to communicate in the language of my choice because I've invested in it and I'm not shy of using it for communication.Kwahiyo wewe kutuchanganyishia hicho kiingereza ndounajiona umesoma na nikiongozi bora? Pumbafu!
Nikusaidie hivi nenda kamwambie Mama!
No. 'Effective leaders' ni wale viongozi 1) wanaojua miiko ya uongozi 2) wanaojua strengths and weaknesses za watu wanaowangoza 3) wanatumia strengths zao (they building on the strengths of their subordinates) without being stuck in their weaknesses and without even harassing them. It's a very practical approach to success. I've learnt about it (to be positive about people) and I apply it in my own life (including family) and I can see its outcomes. Those who choose to go by weaknesses of their teams are likely to experience a bounout and frustration because they will always find mistakes of which they won't be able to address, except using force which doesn't help either. This is the approach we should learn - to build on the strengths of people and with this approach weaknesses disappear in the long-run. The problem is that many people want the results now, which in most cases doesn't work. We have to invest in approaches which elevate us to new heights and we should aim not far, but beyond!Effective leaders ni wale wanaoanza kwanza kwa kuusoma mchezo ulivyo na wakoje waliomzunguka ,
Kama ni wachapa kazi na wewe unakuwa mchapa kazi la kama wao ni wapigaji na wewe unaungana nao unakuwa mpigaji kuliko wao π
Thatβs what you meant ?π³ππ
ββWakati ukitetea hali za wamama wanao nyanyaswa Arusha sikuwaona UWT wala TAMWA wakikupongeza