ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Unadhani hao watu uliowaelezea wapo bado hapa Africa ??!No. 'Effective leaders' ni wale viongozi 1) wanaojua miiko ya uongozi 2) wanaojua strengths and weaknesses za watu wanaowangoza 3) wanatumia strengths zao (they building on the strengths of their subordinates) without being stuck in their weaknesses and without even harassing them. It's a very practical approach to success. I've learnt about it (to be positive about people) and I apply it in my own life (including family) and I can see its outcomes. Those who choose to go by weaknesses of their teams are likely to experience a bounout and frustration because they will always find mistakes of which they won't be able to address, except using force which doesn't help either. This is the approach we should learn - to build on the strengths of people and with this approach weaknesses disappear in the long-run. The problem is that many people want the results now, which in most cases doesn't work. We have to invest in approaches which elevate us to new heights and we should aim not far, but beyond!
NonsenseMheshimiwa Makonda, Salaam.
Nataka nikupe pongezi zangu za dhati kwa kasi ya utendaji wako na jinsi unavyo lipigania taifa la Tanzania. Kuna watu wanafikiria tofauti na unavyo fikiria wewe. Wewe unamawazo chanya una kipawa cha uongozi usiyumbishwe na wale wanao kukatisha tamaa. Hao wanachukia wanapoona nyota yako iking'aa kinyume na matarajio yao, hivyo wanakutafutia visababu ili kuweza kukuangusha. Wanawatuma watu waongee wanayo yaongea, amini kwamba hao ni vipaza sauti tu kuna watu walio watuma.
Wakati ukitetea hali za wamama wanao nyanyaswa Arusha sikuwaona UWT wala TAMWA wakikupongeza, umesaidia wamama wengi kupata haki zao, wengi walio najisiwa watoto wao umewapa haki hakuna aliye kupongeza! Lakini ulipomkemea yule mtendaji wa serikali kwa uzembe wa kutotekeleza majukumu yake na kufikia hatua ya kuathiri maelfu ya wananchi waliibuka na kusema kwamba umekosea na kutaka kwamba eti uwajibishwe!
Kuna watendaji waliozoea kula rushwa. Ulipoanzisha uchunguzi kwenye mifumo ya malipo ya serikali wengi hawakupenda, ni wale wanao nufaika na mfumo huu maana wanajua sasa wameumbuka kwa kuchepusha pesa za serikali, na kupitia wewe mifumo yote Tanzania nzima ni lazima ichunguzwe.
Utashangaa pale utakapo fanya vizuri hawata kupongeza, watakaa kimya ila pale utakapo teleza utawasikia kwenye vyombo vya habari wakikuchongea kwa viongozi wajuu kwa maneno ya hapa na pale.
Mkuu nikwambie kitu kimoja songa mbele usirudi nyuma wala kukata tamaa, kuna mamilioni ya watanzania wanakutazama, wanakukubali na wanaona kasi ya utendaji wako wa kazi. Wewe ni dhahabu ili uweze kung'aa ni lazima upite kwenye moto.
Nakutakia utendaji mwema katika kazi yako.
Wapo ndiyo. Unaweza kuwa mojawapo ukikutana na mtu akakutia moyo to build on your strengths and not capitalise on your weaknesses. Watu tunakatishwa tamaa kwa sababu people are after our weaknesses. Ninachoona kwa Makonda ana bahati ya kuaminiwa na wakubwa, lakini hana bahati ya kutunza like anachoaminiwa nacho. JPM alimkingia sana kifua, lakini ilifika wakati akainua mikono. Hata kwa baadaye this may happen kama 'approach itabaki ileile...'Unadhani hao watu uliowaelezea wapo bado hapa Africa ??!
Ufisadi kila kona πππ³
KabisaaAlianza Hitler hivi hivi kisha akaja kuwa Mkuu wa Nchi yenye nguvu Germany π©πͺ ππ