Barua ya wazi kwa Sheikh Mziwanda na Dr. Sule: Acheni kutetea dhulma dhidi ya Watanzania wenzenu

Ukiipinga dola uwe sheikh uwe askofu basi wewe si mwenzetu.....
 
Mziwanda Hovyo kabisa, anajipendekeza kwa Raisi kwa mgongo wa UDINI, Yeye kwake Samia hana baya!!!
 
Baljurashi
 
Kuna sheikh na shehena. Hao uliowataja ni shehenas. Njaa si kitu kizuri
 
Mkuu umesahau,kwa Sinia moja la ubwabwa mashekh wanaweza kusaliti hata Imani yao???ukuwaona kanisani kwa Geordevie wakitoa ushuhuda???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…