Barua ya wazi kwa wachezaji wa Taifa Stars watakaocheza na Congo kufuzu AFCON

Barua ya wazi kwa wachezaji wa Taifa Stars watakaocheza na Congo kufuzu AFCON

Mende mdudu

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
111
Reaction score
223
Napenda kuandika ujumbe uu wa wazi kwa wanchezaji watakao ingia uwanjani leo dhidi ya DRC congo,
Ni ukweli usiopingika kama kongo hatuwawezi sio kwa mchezaji mmoja mmoja au kwa team play. Ila naandika ujumbe ukaguse mioyo na wakavae damu ya kizalendo zidi ya taifa leo.

Kwenye mpila kuna muda unafika hatuitaj kipaji tu tunaitaj kujitoa kwa jasho na damu pigana hadi tone la mwisho kabla ya kuingia uwanjani waimbishwe chenja za jeshi ili wajue umuimu kwa taifa letu kwa mchezo uu,

Leo sio mechi ya kusema mchezo una matokeo matatu kama ulivo msemo maarufu kwa makocha wa bongo tuna itaji spirit adi ukitema mate uteme damu, tujue kweli umepambana.

Kocha waandae wachezaji na mentality ya kushambulia tuna itaj matokeo iwakae katika akili zao na katika mioyo yao. Iwe kweli kwa lupaso hatoki mtu ata kwenye team ya taifa.

Ni muda wenu wa kulipa fazila to pay the prince kwa raisi wetu mama samia anavyo sapost michezo na kuwapa ndege ya kuwapeleka kongo japo mlifungwa ikawasubir. Pambaneni kwa ajili yake pambaneni kwa ajili ya watanzania.

Mungu ibariki tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars.
 
Back
Top Bottom