Elections 2010 Barua ya wazi kwa wana JF na Watanzania wote.


Yaleyale aliyosema Maggid Mjengwa ........... Mbwa Kupiga Miluzi.

Haturudi nyuma kamwe. Uovu wenu tunaujua. Na wala hatutasahau. Tutapigania haki yetu mpaka Watanzania watakapokombolewa.
 
nimesoma waraka wako. i have two words for you
KAFIE
MBELE
 
Wananchi hawawezi kudhulumiwa haki halafu mtu mmoja anakuja na sera za kuwa uchaguzi umekwisha tugange yajayo ningependa kukufahamisha bwana Zawadi kuwa evolution hufanya kazi wakati mwingine na wakati mwingine haifanyi kazi isipokuwa Revolution kama ANC ilivyofanya dhidi ya Makaburu, John Okello na wenzake dhidi ya Sultan wa Zanzibar, Samora Machel dhidi ya Wareno, Mugabe dhidi ya Ian Smith ambaye naye anatakiwa aondolewe kwa stahili hiyohiyo ya revolution, Museven dhidi ya Obote, Kagame dhidi ya Udhalimu wa wahutu, Kabila dhidi ya Mobutu, wapalestina dhidi ya waisrael, Wanasudani ya kusini dhidi ya waarabu wa kaskazini, Melis Zenawi wa Ethiopia dhidi ya dikteta Haile Magistu Mariam orodha ni ndefu inaendelea siwezi kuitaja yote.

Kwa hiyo kama CCM hawataki kuondoka kwa hiari wataondolewa kwa mabavu ole wao siku zinakuja

"The dogmass of the past will never stop the present storm" President Abraham Lincoln telling slave owners during emancipation of slaves
 
HILI NILILIFAFANUA KWA UREFU KATIKA HOJA #14, nitanukuu hapachini.

"Mwisho niliposema waandishi wa habari JF, niliwalenga viongozi waendesha JF ambao kwa maoni yangu watofautiane na akina Zawadi wasiokuwa na ujuzi wa uandishi. Kama hawana wataalam wenye fani hiyo basi huu ni wakati kwa mtandao mkubwa kama huo kuwa na watu wa aina hiyo kama tuwajuavyo akina Mchuzi, Chemi Chemponda n.k."
 

Huko uko mbali sana, Tanzania haiko katika kundi lolote kati ya hayo uliyoyataja. Na ndio maana niliandika kuwa ni makosa kuilinganisha njia ya Demokrasia yetu na baadhi ya nchi za Afrika japokuwa tuna baadhi ya tamaduni tunazolingana.

Hili ulisemalo ni kosa kubwa baadhi ya watanzania wachache wanataka kulifanya. Hatuko katika nafasi ambayo, kagame, Mandela n.k waliyokuwa nayo. Waulize watanzania waliowengi upate kuwasikia mawazo yao.
 

wee zawadi mi naona unanichefua tu na hii barua yako, mi nahisi umetumwa na wenzio unashirikiana nao kuhihujumu nchi hii na huna uzalendo wowote. sio siri mwl. nyerere angekuwepo na kuona hii dhuluma mnayoiendeleza ccm nahisi angejuuta kuwa ccm. bora ukae kimya kama huna la maana la kutuambia wana JF.:tape::tape::tape:
 
Bwn zawadi kwani umelogwa,tunasubiri majumuisho kutoka majimboni maana yaliyotangazwa ni ya awali. Baada ya majumuisho ndo tutajua nani ni nani na tukae vp kujenga utaifa na si vinginevyo!
 
Bwn zawadi kwani umelogwa,tunasubiri majumuisho kutoka majimboni maana yaliyotangazwa ni ya awali. Baada ya majumuisho ndo tutajua nani ni nani na tukae vp kujenga utaifa na si vinginevyo! Amani ya kulazimishana ili tuilinde,jaribu kuwapelekea ujumbe wale wanaochokoza amani kwa kupokonya ushindi wa wenzio. Nenda kishapu shy ndo ujionee watu walivochoka wale wanaopindisha amani,mkurugenz kakaa kando kupisha mapambano,mabomu ya machoz ndo yameshamiri karibia wiki nzima iliyopita. Sasa waambie wote wasiopenda amani,yaani vigang'anizi wa madaraka ndo waondoke watuachie amani. Peoples'Power!
 
Unatupa wosia kwa kuwa your a dead man siyo?
Mbona wosia wako ni bla bla zile zile za Chenge na Makamba?
 
Umeambiwa kafie mbali kule hukusikia we mwana kibaraka?
 


Kwa nini usiitwe Sikujua au Taabu au Majuto Ngoda!!!!???
 
Umejitahidi kuandika kwa mareeeeefu upuuzi wako ila nina neno moja tu la kukwambia.

UPUMBAVU WAKO HUU KAMWAMBIE BABA YAKO!!!!
 
zawadi, ujumbe wako ni mzuri, lakini zama hizi zinahitaki critical analysis na si blanket conclusions. ukiweza ku-analyze vizuri, ujumbe wako utakjuwa mzuri zaidi.

mfano kuwa demokrasia itaimarika bungeni na wakati mfumo wetu una demokrasia mbili yaani
1. demokrasia ya uwakilisi (bunge na madiwani) na
2. demokrasia ya moja kwa moja wakati wa uchaguzi

sasa kwa kusema demokrasia itaimarika kupitia bunge maana yake ume-ignore hii ya pili yaani ya moja kwa moja kwa wanachi kuchagua viongozi wao wakati wa uchaguzi, na unazua hisia za kubariki uchakachuaji wa kura nk.

ndio maana na sema ukiweza ku-analyze kidogo, ujumbe wako utakuwa mzuri zaidi

asante
 
ZAwadi, it is only human to take sides; Let's just say we can try and remain united in our political, religous as well as philosophical diversities. I hope you are not in any way suggesting that we should not speak out against injustices. I hope not!

Need you be reminded about blood shed in Zanzibar and Kenya before muafaka was reached? I think not! sometimes and probably always peace will be attained at a considrable cost. It is just natural with us socio-political beings.

God made us that way!
 
Bwn zawadi kwani umelogwa,tunasubiri majumuisho kutoka majimboni maana yaliyotangazwa ni ya awali. Baada ya majumuisho ndo tutajua nani ni nani na tukae vp kujenga utaifa na si vinginevyo!
Sijakuelewa ndugu yangu, yaani una maanisha matokeo hayajatoka.

Matokeo ndio hayo mliyoyasikia na Rais kashapatikana, kwani nyie mnataka marais wangapi? Ohooooo, haya ni mambo ya Abiola na Abacha!!!!!!!

Msituchafulie nchi yetu kwa tamaa zenu binafsi. Au hamuwaelewi watanzania? Kweli nyie hamtaweza kuiongoza nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…