Chibule
Senior Member
- Sep 25, 2024
- 171
- 230
MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili vitu viende.
Kuna wakati atakwambia hakuna Mwanaume busy kwa Mwanamke anayempenda lakini anasahau maisha ya Msela akishika simu sometimes kuna mchongo anaosikilizia anauchungulia kama umetiki, kuna wakati anawasha data sio kuchat bali kuona kama Email imejibiwa ama kuna tangazo la ajira.
MWANANGU kwasasa utaitwa kila jina, tushawahi shuhudia Diamond akiitwa Domo na sasa Mabinti wanasema ana lips denda, tushawahi shuhudia Wanetu wanaambiwa “Wewe sio type yangu” ila wapo busy kulamba vitambi vya Wakongwe na kujibebisha eti Dady, atasema sidate na Watoto ila analala na Mwanaume umri wa Babu yake.
WANANGU kama tunazitaka mali tutazipata kwenye hustle, kama tunaumizwa na hawa Mabinti na Wanawake aminini Wanangu tutawakuta wengine mbele, tuwe BIZE SAAANA kwakuwa wao ni sehemu ndogo sana ya maisha yetu, tunao Ndugu na Wazazi wetu wanaotaka ushindi wetu.
WANANGU tujibu texts zao pale ambapo muda umepatikana, tupokee simu pale ambapo hakuna mishe nyingine, tuwe busy tupambanie maisha, wao ajira zao zipo ndani ya nguo zao wengi wao, sisi ajira zetu zipo ndani ya jasho letu, mpaka mwisho Wanangu, wakisema sio romantic fresh, wakisema hatujali fresh sisi hatuna muda mwingi wa kujiteteta tunasaka USHINDI.
WANANGU tusisahau Kutunza Afya Yetu Ya Kinywa na Meno ukiwa na changamoto hizo na upo pwani/ Dar es Salaam unaweza wasiliana nami
DAKTARI.