Barua ya wazi Kwa wanawake: Usiolewe na mwanaume mpumbavu na mwoga!

Uzi mchungu kwa wanaume wapumbavuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi umechekelea mwenyewe unavyopenda wanaume wakinangwa na ufeministi wakoπŸƒπŸƒπŸƒ

Mwenzako Rebecca 83 siku hizi simuoni
 
sawa Mandonga mtu kazi
 
unasikia mkuu, hii nchi watu karibu robo tatu ni wapumbavu kwa tafsiri zako, wasipooa sa itakuwaje
wacha tu tuoe mkuu
kama mtu anakopa ili alipe dividend tumuiteje huyo sasa

Kuwa Mpumbavu mtu anaweza kuamua Mkuu lakini kuwa na hekima na akili huwezi kuamua.
Hivyo ndio maana hiyo rate uliyoitaja ni rahisi kufika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi umechekelea mwenyewe unavyopenda wanaume wakinangwa na ufeministi wakoπŸƒπŸƒπŸƒ

Mwenzako Rebecca 83 siku hizi simuoni
πŸ™„ Nadhani hunijui utakuwa umenichanganya na mwanamke mwingine
 
Sawa sawa kabisa. Yale mafurushi hakika ujumbe mmeupata.
 
Tafuta na "barua wazi kwa wanaume" hiyo fasihi imeeleweka, ila riwaya kuhusu wanawake nayo iletwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…