kimbweto
Member
- Oct 6, 2012
- 53
- 190
Enyi wazee wa Simba Sc,sisi vijana wanazi wa Simba tunayo huzuni kubwa sana Kwani mmekuwa kimya huku mnamuacha mzee Mpili anajimwambafy na kutupiga biti sisi washabiki na wachezaji,haiwezekani Mzee Mpili afanye anayoyafanya hali ya kuwa nyinyi mpo mmeinamisha kichwa chini mkituacha tukiwa na sifa za kimataifa lakini mbele ya utopolo kuwa kama andazi kuliwa kirahisi tena bila ya chai.Sasa angalizo iwapo biti la mzee Mpili litafanya kazi KIGOMA,hatutawatambua tena