Barua ya wazi kwa wazee wa Simba

Barua ya wazi kwa wazee wa Simba

kimbweto

Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
53
Reaction score
190
Enyi wazee wa Simba Sc,sisi vijana wanazi wa Simba tunayo huzuni kubwa sana Kwani mmekuwa kimya huku mnamuacha mzee Mpili anajimwambafy na kutupiga biti sisi washabiki na wachezaji,haiwezekani Mzee Mpili afanye anayoyafanya hali ya kuwa nyinyi mpo mmeinamisha kichwa chini mkituacha tukiwa na sifa za kimataifa lakini mbele ya utopolo kuwa kama andazi kuliwa kirahisi tena bila ya chai.Sasa angalizo iwapo biti la mzee Mpili litafanya kazi KIGOMA,hatutawatambua tena
 
Tatizo mi Haji Manara,usiwasingizie wazee.

2830977_FB_IMG_16254225749462313.jpg
 
Back
Top Bottom