keivanti
Member
- Jul 29, 2022
- 92
- 97
Mh. Waziri TAMISEMI inakero zaidi ya asilimia 70.
Kwa kifupi sana na kwa maneno machache sana, Idara/vitengo huku chini kuna matatizo ya uonevu, unyanyasaji, kudharauliana, kuminyana, kuzibana midomo, kutiana presha watumishi idara za Elimu, zaidi sekondari. Kwa maagizo ya kurugenzi za wizara ya Tamisemi kwa kutetea watu wao wateule, hakuna imani na wasimamizi wako. Upo uwezekano mkubwa kuteuana kwa kujuana. Hakuna haki katika jambo hili.
Kipao mbele kwao ni posho na stahiki zao. Watumishi wa chini ni wahanga wakubwa. Jipange na tembea uone