Barua ya wazi kwa Waziri TAMISEMI

Barua ya wazi kwa Waziri TAMISEMI

Afage

Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
46
Reaction score
66
Pole na majukumu Ndugu Waziri, nina machache ya kukushauri juu ya suala la ajira za walimu;

Rejea enzi za Ummy Mwalimu, alichukua wahitimu wa 2012, 2013, 2014, na 2015 akapeleka wote primary hakukuwa na shida.

~ Chukua wahitimu wote wa 2015 peleka primary ili upunguze kelele.
 
Halafu wa primary wanapelekwa wapi! Labda hujui tu, serikali inataka walimu wa cheti Ili kusave pesa. Sasa digilii hata akiwa primary mshiko uko pale pale. Hawatafata ushauri wako
 
Back
Top Bottom