anti-Glazer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 291
- 482
Ummy mwalimu.
Nianze kwa masikitiko makubwa ya kile kinachoendelea kwenye mahospitali, vituo vya afya na zahanati imma na binafsi.
Ummy (MB) na waziri umepewa dhamana lakini hujui msuguano uliosababisha. Wachangiaji na familia zetu typo kwenye mkwamo tusiostahili.
Huduma ya afya Kwa kadi za bima imekuwa kero KERO iliyokatika kiwango cha kuhatarisha ustahilivu. Kadi zinakataliwa, utaratibu wa kuzi renew unakera. Imegeuka as if Mimi ni muhuni mbele ya wasimamia upoleaji (NHIF)na kunihudumia kama mhalifu.
Yaani mmi mteja wao nakuwa kinyume chake, adha hizi Ziangalie Kwa haraka.
1. Kukataa kadi za wanachana.
2. Kuzuia kadi za wanachama.
3. Kuwadharau wanachama (nitaifafanua).
4. Watoto wetu wanaohitaji huduma hawastahili kuzuia kisa mabadiliko ya muonekano.
5. Kama kweli mnazingatia kumsaidia Mama Samia. Futeni mabadiliko na boresheni kwanza style ya kiuodate taarifa.
Ummy Mbunge na waziri mwenye dhamana alitoa maelekezo kadhaa lakini dharau zimezidi kiwango.
- Waziri Ummy atoa siku 14 kwa NHIF kukamilisha maboresho ya Toto Afya Kadi