Barua ya wazi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Waziri wa TAMISEMI na IGP

Pole Sana Kwa yaliyokukuta. Nakushauri nenda Kwa rpc wa mkoa wa Dodoma atakusaidia kwani ni mtu humble Sana na anasikiliza Sana wananchi wenye matatizo na polisi wakware! Hao uliowataja hapo kuwaomba msaada watakuignore TU na kuendelea kulamba mvinyo, hawana msaada wowote zaidi ya kujali matumbo Yao!
 
Karma is a bitch boss, Mungu akutie nguvu kipindi hichi unavyosubiri haki yako itendeke Zitto tusaidie kufikisha kilio Cha ndugu yetu huyu hapo mjengoni.
 
Pole, Hawakupa haki wewe ni raia. Inabidiv, ilibidi usikilizwe.

Mamlaka husika mumsadiè huyu Mtanzania.
 
Dah!!! Haki itendeke na ioneshe kama imetendeka, nimeumia sana, nilisha wahi kupata dhahama ya ajali ya mgogo najua unachosema dokta hapo tayari umepata kilema cha mgogo, Mungu akupiganie upate haki yako
 
Polisi wa nchi hii ni shida sana. Pole sana mkuu naamini utapata haki yako japo kwa kuchelewa.
 
kwa haraka haraka hapo kuna watu wanapaswa kufukuzwa kazi haraka.....DC, RPC, DAS, RAS, Bosi wa takukuru... wafuatao wanapaswa kuwa jela haraka... hao polisi wote na mkuu wao wa kituo wanapaswa kuwa jela haraka....

Serikali inapaswa kugharamia matibabu ya mhusika na kumlipa fidia hela nyingi sana na kumhamisha kituo cha kazi...
 
Mama Samia sikia kilio cha huyu mtu.



Pole sana. Yani hao askari ningekuwa ndo wamenifanyia mimi hivi wangeanza kufa mmoja mmoja tena na familia zao. Na hivi nina fundi wangu jembe haswa sehemu, wasingeamini hakika.
 
1.5 M na mpo zaidi ya wawili mbona ni pesa ndogo sana kutaka kumtoa mtu uhai?

Mambo mengine ni kujidhalilisha tu.
Polisi wa Bongo wana-tamaa sana we fikiria laki na sitini za Adamoo hawajaziorozesha popote
 
Mpige ukichaa tu ndo dawa yao, wakat mwngne kudai haki inatakiwa utumie theory ya Hamza
 
Pole Sana ndugu,

Waziri wa mambo ya ndani na huyo OCD wasipokusaidia katika hili,Basi watakuwa hawatoshi kwenye nafasi zao.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…