Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
mkuu umeandika point za msingi sanaLabda nitofautiane na wewe kidogo... Jukumu la kuanzisha kozi sio kuajiriwa tu bali kuziba ombwe la wataalam kwenye sekta husika. Mfano serikali inaweza amua anzisha program za kufundisha hata masekondari masuala ya gesi asilia na mafuta ili mpaka vijana wanakomaa basi tunakua na core ya watu wanaoweza kuextract madini yetu wenyewe na hta kujiajiri mfano kupitia kuanzisha private firms kusambaza gesi mpka nchi jirani n.k..