Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Jitoe kwenye Kamati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hana nia njema

Ina maana Zitto anafanya biashara ya siasa?
 
Kila mtu apambane na hali yake kama ambavyo Mbowe alimtimua zitto chadema, kwa sasa zitto ananjaa anahitaji kurudi bungeni na akachukue kamati na aanze kupiga pesa ntamshangaa akiwasikiliza chadema ni wakati wake kujiandaa kwa 2025 na kujisogeza kwa Samia na ccm yake na ukaribu wa kiimani kama udini komavu wa zitto msitarajie snitch akawa rafiki.
Kila mtu ashinde mechi zake siasa kama danguro kila anakula yeyote kwa muda wake.
 
Una kiwango duni hivi cha ufikiri!? Tulipowasusia makaburu wa Afrika kusini tuliacha kufuatilia nyendo zao? Hatufuatilii kikao chao, tunafuatilia impact ya kikao chao kwenye mustakabali wa demokrasia ya nchi yetu.
Wacha kupoteza anguvu na muda wako kwa kubishana na mkwere asiye jitambua huyo.
 
Kuna wakati adui yako lazima awe rafiki yako ili na wewe upate advantage kufikia mahali kwenye mradi wako., Siasa inakuwa hivyo ndugu usituletee mawazo ya chadema, chadema ni wachanga sana kwenye siasa
 
Sheikh mwenyewe 'matendo' yake yale mh!
 
Pointi kubwa ni kujadili utekelezaji wa sheria!!! Kwamba imeandikwa Usiibe , sijui tunajadili jinsi ya kuiba??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…