professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah[emoji23][emoji23] Nimesikitika sana
Aibu naona mimi.[emoji23][emoji23] Nimesikitika sana
Kwako Mkuu Dr,
Binafsi Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23, mwanafunzi mwaka wa tatu moja ya a chuo kikuu hapa jijini (DSM), binafsi Dr, naona wewe ni mtu humble, passionate na mwenye utu sana.
Dr Haya Land, mm binafsi naona na mengi sana ya kujifunza Toka kwako hasa inje ya maisha ya-hapa jf, kwani I'm still young boy with a lot of dreams.
Dr. Haya Land kama hutojali naomba niku-private message, please be my mentor bro.
Soma comment no. 2Kuna comment naitafuta