Mkuu Abdul Nondo, kwanza naunga mkono hoja, pili umenigusa sana ulipomtaja Sigmund Freud na Altruism.
Wanabodi, Japo mimi sio mwana saikolojia wa kusomea darasani, lakini kwa mujibu wa fani yangu ya uandishi wa habari, ili mtu uwe mwandishi mzuri, ni lazima uwe observe mzuri, hivyo kufuatia kuhudumu fani hii kwa muda mrefu, unajikuta umekuwa ni observe mzuri sana kuliko hata wana saikolojia...
www.jamiiforums.com
Tukija kwenye hili suala la uvumilivu una mwisho, kwa vile wewe Abdul bado ni kijana mdogo, unaamini katika theories mnazofundishwa shuleni na vyuoni kuwa binadamu ni mvumilivu na uvumilivu una mwisho. Hizo ni theories tuu na ziko applicable huko kwingine, lakini sisi Watanzania ni very special people or tuseme we are unique, Watanzania ni wavumilivu sana na siku zote, huwa tunavumilia tuu, uvumilivu wetu ni wa milele, hauna mwisho ndio maana CCM itatawala milele.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...
www.jamiiforums.com
P