Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Kwahiyo wewe p unataka shetani aendelee kutawala milele na watanzania waendelee kuteswa milele .Siku watanzania watabadilika hutaamini wewe wao na mungu wao nyamrunda wanayemzungusha wakiwadanganya watu ni mwenge .Mkuu Abdul Nondo, kwanza naunga mkono hoja, pili umenigusa sana ulipomtaja Sigmund Freud na Altruism.
Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
Wanabodi, Japo mimi sio mwana saikolojia wa kusomea darasani, lakini kwa mujibu wa fani yangu ya uandishi wa habari, ili mtu uwe mwandishi mzuri, ni lazima uwe observe mzuri, hivyo kufuatia kuhudumu fani hii kwa muda mrefu, unajikuta umekuwa ni observe mzuri sana kuliko hata wana saikolojia...www.jamiiforums.com
Tukija kwenye hili suala la uvumilivu una mwisho, kwa vile wewe Abdul bado ni kijana mdogo, unaamini katika theories mnazofundishwa shuleni na vyuoni kuwa binadamu ni mvumilivu na uvumilivu una mwisho. Hizo ni theories tuu na ziko applicable huko kwingine, lakini sisi Watanzania ni very special people or tuseme we are unique, Watanzania ni wavumilivu sana na siku zote, huwa tunavumilia tuu, uvumilivu wetu ni wa milele, hauna mwisho ndio maana CCM itatawala milele.
PKupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...www.jamiiforums.com
Mkuu Chief Kabikula,Kwahiyo wewe p unataka shetani aendelee kutawala milele na siku watanzania watabadilika hutaamini wewe wao na mungu wao nyamrunda wanayemzungusha wakiwadanganya watu ni mwenge .
Mkuu Abdul Nondo, kwanza naunga mkono hoja, pili umenigusa sana ulipomtaja Sigmund Freud na Altruism.
Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
Wanabodi, Japo mimi sio mwana saikolojia wa kusomea darasani, lakini kwa mujibu wa fani yangu ya uandishi wa habari, ili mtu uwe mwandishi mzuri, ni lazima uwe observe mzuri, hivyo kufuatia kuhudumu fani hii kwa muda mrefu, unajikuta umekuwa ni observe mzuri sana kuliko hata wana saikolojia...www.jamiiforums.com
Tukija kwenye hili suala la uvumilivu una mwisho, kwa vile wewe Abdul bado ni kijana mdogo, unaamini katika theories mnazofundishwa shuleni na vyuoni kuwa binadamu ni mvumilivu na uvumilivu una mwisho. Hizo ni theories tuu na ziko applicable huko kwingine, lakini sisi Watanzania ni very special people or tuseme we are unique, Watanzania ni wavumilivu sana na siku zote, huwa tunavumilia tuu, uvumilivu wetu ni wa milele, hauna mwisho ndio maana CCM itatawala milele.
PKupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...www.jamiiforums.com
Mkuu Omganya, kutofautiana na kupingana ndio afya ya mijadala ila usimpinge Mayalla kwa kusema unampinga Mayalla, bali pinga hoja zake kwa kuzipangua hoja kwa hoja na sio kumpinga mtoa hoja, pinga hoja yake.Kwa mara ya kwanza naomba kupingana na mayala tena kwa sehemu kubwa sana. Hakuna Subira isiyo tamati hususani kama hakuna heri.
Sidhani kama kaelewa ulichoandika.Mkuu Omganya, kutofautiana na kupingana ndio afya ya mijadala ila usimpinge Mayalla kwa kusema unampinga Mayalla, bali pinga hoja zake kwa kuzipangua hoja kwa hoja na sio kumpinga mtoa hoja, pinga hoja yake.
Nasisitiza Watanzania ni watu peace sana, ni wavumilivu sana, hakuna siku uvumilivu wetu utafika mwisho, ndio maana CCM itatawala milele.