Barua ya wazi kwako mh.rais Uhuru Kenyata,rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya....

Barua ya wazi kwako mh.rais Uhuru Kenyata,rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya....

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Mh.rais Kenya ni miongoni mwa taifa ninalolipenda mno,tangu enzi za mh.rais mstaafu Daniel Arap Moi nikimfuatilia ktk radio ya idhaa ya Kiswahili ya Kenya kwenye kila taarifa iliyotangazwa kila siku.

Pia wewe mh.rais ni miongoni mwa marais ninaowafuatilia sana na kuvutiwa na speech zako zenye busara na mvuto,pia kuchagua makamu mcha Mungu niliemshuhudia akiimbisha tenzi za rohoni wakati wa kuapishwa kwenu.

Mbali ya yote wewe umeshafanya kazi bank kama nilivyowahi kufanya na Mimi hivyo ni mshabiki wako.

Pia kama mwana Afrika Mashariki nafurahi mnavyowajali wasanii toka nchi za Afrika Mashariki hadi kupelekea mwanamuziki nguli wa Bongo fleva Dada Ray C kutoa kibao kitamu cha moto moto akishirikiana na Mkenya nadhani utakipenda,pia Mimi ni shabiki mkubwa wa mwanadada mrembo Huddah.

Ombi:Mh tuteulie Mkenya mwanadada Mrembo na mfanyabiashara maarufu Anerlisa Muigai aingie ktk bunge la Afrika Mashariki,isipokupendeza basi aje hata awe agent wa tumbaku huku ni zao bora linalimwa huku nilipo na ikiwa utamchagua nitapenda nihudhurie na kuwa nchi ya kwanza niipendao kukànyaga au niwakilishwe na Ray C.

Mimi ni mwana Afrika Mashariki tu maisha yangu ni saw a na ya Mr. Rango filamu maarufu ya katuni ya Kifaransa.Asante mkuu pia pongezi kwa kusapoti Sana'a ya uchoraji kwa kuibua kipaji cha mchoraji mtoto aliechora Picha zako.

Chini ni picha ya Dada Anerlisa Muigai, na nakumini utachukua action.

Instagram:kaukwaju
 

Attachments

  • IMG_20180909_214940_250.jpg
    IMG_20180909_214940_250.jpg
    25.8 KB · Views: 31
Tumekukosea nini wana Intelligence... Kutuwekea upuuzi kama huu
 
Nimejaribu kuelewa huu uzi nikatoka kapa, japo ila nimefuata hiyo instagram yako nikakuta warembo huko na kufurahisha macho, wazuri, lakini bado sijaelewa kusudi la huu uzi.
 
Ahaaa haaa haaa
SASA unazunguuka kumuomba Uhuru awe mshenga wako kwa huyu mwanamke. kwa nini usiombe msaada hapa JF wakusaidie kumpata? mimi naona Uhuru ana mambo mengi SANA ya kuhudumia NCHI kwa nini usimuombe jamaa kibao hapa kumpata huyo kimwana!!?
 
Mh.rais Kenya ni miongoni mwa taifa ninalolipenda mno,tangu enzi za mh.rais mstaafu Daniel Arap Moi nikimfuatilia ktk radio ya idhaa ya Kiswahili ya Kenya

Pia we we mh.rais ni miongoni mwa marais ninaowafuatilia sana na kuvutiwa na speech zako zenye busara na mvuto,pia kuchagua makamu mcha Mungu niliemshuhudia akiimbisha tenzi za rohoni wakati wa kuapishwa kwenu.

Mbali ya yote wewe umeshafanya kazi bank kama nilivyowahi kufanya na Mimi hivyo ni mshabiki wako.

Pia kama mwana Afrika Mashariki nafurahi mnavyowajali wasanii toka nchi za Afrika Mashariki hadi kupelekea mwanamuziki nguli wa Bongo fleva Dada Ray C kutoa kibao kitamu cha penzi moto moto akishirikiana na Mkenya nadhani utakipenda,pia Mimi ni shabiki mkubwa wa mwanadada mrembo Huddah.

Ombi:Mh tuteulie Mkenya mwanadada Mrembo na mfanyabiashara maarufu Anarlisa Muigai aingie ktk bunge LA Afrika Mashariki,isipokupendeza basi aje hata awe agent wa tumbaku huku ni zao bora linalimwa huku nilipo na ikiwa utamchagua nitapenda nihudhurie na kuwa nchi ya kwanza niipendao kukànyaga au niwakilishwe na Ray C.

Mimi ni mwana Afrika Mashariki tu maisha yangu ni saw a na ya Mr.Tango filamu maarufu ya katuni ya Kifaransa.Asante mkuu pia pongezi kwa kusapoti Sana'a ya uchoraji kwa kuibua kipaji cha mchoraji mtoto aliechora Picha zako
Chini ni picha ya Dada Anarlisa Muigai, na nakumini utachukua action.

Instagram:kaukwaju
Huu ni mharo mtupu
 
Back
Top Bottom