FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Mh.rais Kenya ni miongoni mwa taifa ninalolipenda mno,tangu enzi za mh.rais mstaafu Daniel Arap Moi nikimfuatilia ktk radio ya idhaa ya Kiswahili ya Kenya kwenye kila taarifa iliyotangazwa kila siku.
Pia wewe mh.rais ni miongoni mwa marais ninaowafuatilia sana na kuvutiwa na speech zako zenye busara na mvuto,pia kuchagua makamu mcha Mungu niliemshuhudia akiimbisha tenzi za rohoni wakati wa kuapishwa kwenu.
Mbali ya yote wewe umeshafanya kazi bank kama nilivyowahi kufanya na Mimi hivyo ni mshabiki wako.
Pia kama mwana Afrika Mashariki nafurahi mnavyowajali wasanii toka nchi za Afrika Mashariki hadi kupelekea mwanamuziki nguli wa Bongo fleva Dada Ray C kutoa kibao kitamu cha moto moto akishirikiana na Mkenya nadhani utakipenda,pia Mimi ni shabiki mkubwa wa mwanadada mrembo Huddah.
Ombi:Mh tuteulie Mkenya mwanadada Mrembo na mfanyabiashara maarufu Anerlisa Muigai aingie ktk bunge la Afrika Mashariki,isipokupendeza basi aje hata awe agent wa tumbaku huku ni zao bora linalimwa huku nilipo na ikiwa utamchagua nitapenda nihudhurie na kuwa nchi ya kwanza niipendao kukànyaga au niwakilishwe na Ray C.
Mimi ni mwana Afrika Mashariki tu maisha yangu ni saw a na ya Mr. Rango filamu maarufu ya katuni ya Kifaransa.Asante mkuu pia pongezi kwa kusapoti Sana'a ya uchoraji kwa kuibua kipaji cha mchoraji mtoto aliechora Picha zako.
Chini ni picha ya Dada Anerlisa Muigai, na nakumini utachukua action.
Instagram:kaukwaju