M mnozya JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 213 Reaction score 56 Aug 2, 2015 #21 Hivi Sheria ya BASATA ina mamlaka nje ya mipaka ya Tanzania Bara? Si kweli? Shilole uko free kufanya kazi zako za sanaa popote pale nje ya Tanzania Bara. NASISITIZA sheria za Tanzania Bara hazitambuliwi nje ya mipaka ya Tanzania Bara.
Hivi Sheria ya BASATA ina mamlaka nje ya mipaka ya Tanzania Bara? Si kweli? Shilole uko free kufanya kazi zako za sanaa popote pale nje ya Tanzania Bara. NASISITIZA sheria za Tanzania Bara hazitambuliwi nje ya mipaka ya Tanzania Bara.
D dignatesha Member Joined Jun 20, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Aug 22, 2015 #22 Wanasababu hao wasanii kibao wanaotembea
D dignatesha Member Joined Jun 20, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Aug 22, 2015 #23 Wanasababu hao ,hao wasanii kibao wanaotembea uchi mbona hawachukuliw hatua move zinaweka mambo ya chumbani hadharani mbona hawachukuliwi hatu
Wanasababu hao ,hao wasanii kibao wanaotembea uchi mbona hawachukuliw hatua move zinaweka mambo ya chumbani hadharani mbona hawachukuliwi hatu
Sabung'ori JF-Expert Member Joined Jul 19, 2011 Posts 2,166 Reaction score 1,247 Aug 22, 2015 #24 ...hiyo adhabu ilitakiwa iambatane na kifungo cha miezi mitatu na viboko 12 siku ya anaingia jela na 12 siku anatoka ili akamwoneshe Mziwanda....
...hiyo adhabu ilitakiwa iambatane na kifungo cha miezi mitatu na viboko 12 siku ya anaingia jela na 12 siku anatoka ili akamwoneshe Mziwanda....