Barua ya wazi mamlaka husika

Barua ya wazi mamlaka husika

Hivi Sheria ya BASATA ina mamlaka nje ya mipaka ya Tanzania Bara? Si kweli? Shilole uko free kufanya kazi zako za sanaa popote pale nje ya Tanzania Bara. NASISITIZA sheria za Tanzania Bara hazitambuliwi nje ya mipaka ya Tanzania Bara.
 
Wanasababu hao ,hao wasanii kibao wanaotembea uchi mbona hawachukuliw hatua move zinaweka mambo ya chumbani hadharani mbona hawachukuliwi hatu
 
...hiyo adhabu ilitakiwa iambatane na kifungo cha miezi mitatu na viboko 12 siku ya anaingia jela na 12 siku anatoka ili akamwoneshe Mziwanda....
 
Back
Top Bottom