Alexander Lukashenko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 4,140 Reaction score 9,667 Oct 12, 2021 #2 Sikumbuki kama Mrindoko alisema tunaandika barua hivi. Ila ngoja niisome nitarudi.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 13, 2021 #3 Kichwa cha habari kingesoma "Kitini/Kijarida cha wazi kutoka kwa Liston Katabazi" Maana hii siyo barua ninayo ifahamu.
Kichwa cha habari kingesoma "Kitini/Kijarida cha wazi kutoka kwa Liston Katabazi" Maana hii siyo barua ninayo ifahamu.