Barua ya wazi ya C.T.U kwenda kwa wazee wa BAMAGA ikitoka juu angani ikipitia MAWINGUNI

Barua ya wazi ya C.T.U kwenda kwa wazee wa BAMAGA ikitoka juu angani ikipitia MAWINGUNI

Muhaya alikuwa anakula Chakla cha mfanyakazi mmoja wa MAWINGU anaitwa SHADEE sasa bwana GH mzee wa CHAKULA CHA ASUBUHI (breakfast) CHENYE NGUVU nae kumbe alikuwa anakula hapo hapo nasikia one day waishawahi kukutana live kwenye milango ya hoteli

Muhaya alikuwa na kimada mwingine mwenye JINA mjini ambaye sio vizuri kumtaja hapa na GH nae alikuwa ana Shadee wakati Shadee ni wa Bosi

ilishajadiliwa hadi humu i think

shukran sasa moyo wangu umepoa!! hii sijawahi kuisikia loh!! mjini kunastahajabisha
 
WARAKA WA BABU MSEMA OVYO (C.T.U)

Ewe ndugu yangu mzee wa BAMAGA kwaza pole sana kwa swaumu mwezi huu mtukufu wa ramadhani swaumu hii kali kweli kweli kwani mie midomo hapa imenikauka japokuwa tayari nimeshapata futari

anyway mie hapa nakuja kwa heshima na taadhima ,
ishara ya upendo ikiwa mbele na hekima,
miguu kikiitanguliza mbele huku mikono ikiwa nyuma,

naona hadi nimeanza kuandika kwa mashairi watoto wa mjini wanasema na RAP

anyway

swali langu dogo tu ni kuwa je kuna hali ya kulindana inayoendelea kati yako wewe na yule mhaya wetu wa pale magholofani ambaye anajiona anaishi juu sana kwenye MAWINGU?

kwani sie wote tunajua kuwa mzee wa BAMAGA ni mzuri katika kujua umbea wa watu kila siku unafuatilia kuanzia IJUMAA mpaka WIKIENDA

ila nashangaa umbeya wako haufiki MAWINGUNI

WHY? KWANINI??

na vyote tunajua kuwa wewe ni mzuri kuzichimbua story ambazo zina hadhi ya juu hapa Bongo story zenye hadhi ya ALMASI kama sio GOLD ila unaacha story hizo za
ALMASI zikiwa zinamuhusu na watu wa MAWINGUNI ambao wana story nyingi tu ambazo aidha huzijui au unazijua ila unajifanya huzijui


unamuonea tu mtoto wa BALOZI au kwa sababu yeye ana moyo wenye WEMA

juzi ulimharibia mwenzako UA ROSE na BAIBUI sawa uliweza kupata picha ya ALMASI na mke wa mcheza mpira kwenye nyumba ya Wageni ..

ila umeshindwa kujua ya ALMASI NA BINTI KIZUNGUZUNGU? kweli? au unataka picha ziwekwe humu? hata picha zikiwekwa humu hukosi cha kumtetea

kwani ndio zako kutetea

uliweza kumtetea KIJIPU/KIDOTI kipindi kile cha picha za UCHI ije kuwa hii?

au kwakua BINTI KIZUNGUZUNGU ni brand ya MAWINGU??

nakuuliza wewe MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA MTAANI (street university) kilichopo BAMAGA

unamuogopa MHAYA? hauzi kwenye BROCHURE zenu ukimuweka? tatizo nini?


hivi ile Skendo yake na mfanyakazi wake GH kisa mfanyakazi mwingine hapo KWENYE ANGA yule aliyekuwa anakaa na mama wa ki-LEO yeah kweli LEO TENA walienda mpaka Bagamoyo

we mzee wa BAMAGA huijui tu??

kweli maisha kama movie yaani hii movie ni sawa naangalia movie ambayo nimeitengeneza mie ni sawa nawachukua watu NAWAGOMBANISHA kwenye MOVIE ili mimi nile halafu nawambia TAKE ONE then action halafu we jamaa wa BAMAGA humjui aliyenipa MIMBA unachekesha.....


sio mimi tu wapo wengi sana ambao wamepewa mimba na bwana huyu ila wengi ni wavumilivu tu yaani wanajua ku VUMILIA hawa sijui wana roho gani


mwingine juzi mwimbaji ambaye yuko chini ya hawa jamaa alifanyiziwa mbaya na UPEPO MKALI ila mmeizima hii inshu

anyway


mzee wa BAMAGA unawaogopa sana hawa jamaa au ?

hivi nyie huwa habari zenu ni za kufumaniwa tu watu ambao wanafanya hommosexual huwa ham deal nao?

niambie hivyo nitakuelewa ila kama mnawatafuta nenda pale airport chukua ndege ruka nayo ukikatiza MAWINGU utawapata tu

yule jamaa wa B.O.T mnamuonea bure

mlidiriki kutengeneza list ambayo kwa ufadhili wenu mliifanikisha sana kipindi kile ila
kuna mwanamke gani wa mjini asiyeujua MASHINE YA KUTOLEA URINE ya huyu JAMAA anayekaa MAWINGUNI?


mtoto wa Balozi na bongo movies mnawaonea kwa kweli ila

kina

KIZUNGUZUNGU
NDEGE MNANA
nani hajui kuwa hawa ndio wako juu kwa sasa katika KUGAWA pipi zao ambazo wamefundishwa na bosi wao?


nani asiyejua kuwa lile tamasha lao la kila mwaka wasanii wakienda Tour wale DANCERS wa lile kundi maarufu ambalo liko chini ya hawa jamaa hugeuka kuwa VIBURUDISHO? vya wasanii??

ukiwaongeza kina ZUWENA wa J LO mambo ndio yanazidi kuwa mambo....

sio picha tu hata video zipo

hayo yote hujui?


nani hajui kuwa wewe mzee wa BAMAGA ukinyimwa uroda na mwanamke wa mjini hapa unafanya kila njia kumuharibia

unakumbuka ile inshu inamuhusu FARAJA ? ulivupoindisha ukweli kutaka kumharibia dada wa watu?
mara oooh mlimani city, mara oooh kigogo wa benki

uongo mtupu


anyway ngoja niwae zangu DAKU hapa....

ila tu we jamaa wa BAMAGA ina maana unamuogopa sana jamaa wa mawingu??
fanya usawa basi

toa habari za kila mtu

ndio maana U-TURN aliwaweza wewe na MAGAI wako
unaikumbuka hiyo SAGA??


kwaheri jamaa

tutaonana baadae


wako mtiifu

C.T.U
kaka we noumar kweliiiiiii wachanee wachane kumbe mengi hatujui so mtoto wa kimombasa chakula ya wazee
 
Back
Top Bottom