Barua yangu kwako Godilavu

Hujambo dada dena? ulienda wapi jamani. karibu sana. Mia
 
Enzi hizo ukivua wa'3 wa sampuli hizi(hao wa kumaliza la 7) huikosi bikira 1
 
dalawai :israel: .......enzi za godilavu zilikuwa za ukweli na tamu hizi za sasa usanii mtupu na maujuaji kibao
 
Zilikuwa zaidi ya moja bana acha hizo

Weeh hivi vyenye courage ya kumwandikia mtu huwezi kukuta zaidi ya 1,katika zama hizohizo kuna vile vikielekezwa vinakwenda ku'report kwa Wazazi vile ndo katika vi'3 unaweza kuzifumania zaidi ya 1
 
Weeh hivi vyenye courage ya kumwandikia mtu huwezi kukuta zaidi ya 1,katika zama hizohizo kuna vile vikielekezwa vinakwenda ku'report kwa Wazazi vile ndo katika vi'3 unaweza kuzifumania zaidi ya 1

Za kusemewa zilikuwa balaa kabisa yaani ha ha ha ha umenikumbusha mbali
 
Mapenzi yalikuwa 'natural'..sio haya yaliyochakachuliwa na facebook!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…