Barua yangu kwako Godilavu

Barua yangu kwako Godilavu

...bora zamani!!

Hii imekuwa imani yangu siku zote Mkuu.....

Bora zamani aisee

Hapo Godilav wa watu kapata hiyo barua wakawa wanakutana na mtoto kwenye mwembe mkubwa au kwa kule kwetu kwenye migomba basi kila kitu shwaaaariiiiii.
 
Kimbembe kilikuwa pale jamaa mmoja akamwandikia barua kama hiyo msichana wa darasani kwake. Yule binti katoka nayo mbio mpaka kwa mwl wa darasa kushitaki. Ilikuwa ni delicate mission kweli enz hizo.
 
Karibu jamvini DENa nimekumiso
 
Last edited by a moderator:
Mzima wewe Dena Amsi?

Wale tuliopita enzi hizo tulifaidi sana na kupita shule za ukweli kwa kila idara!!

Naamini tunazohadithi za kuwasimulia wajukuu hadi wachoke..!!

Wenu awapendaye kwa sana......,

Babu DC!!
 
Mzima babu mie nipo majukumu ndo yananizidi umri.............

Mambo ya chini ya mwembe raha sana aisee ila ukisemewa kwa maza noma lake?????
 
Pole sana Dena Amsi!!

Huyo mgeni wako toka Southern Sudan hajambo? Gari analimudu?

Umenikumbusha mbali dada yangu....Kuna dada mmoja alinichokoza kwa kunitumia barua ya utani utani wakati nasoma darasa la 6 na yeye yuko la 4. Nilipojaribu kuongea naye kiutu uzima, akasema kuwa ngoja kwanza akamsimulie mama yake halafu atanipa jibu kesho yake....Kwa akili ya kitoto nilisubiri jibu hadi nikamaliza darasa la 7!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
sasa ivi dem unaonana nae kituo cha daladala saa mbili asubuhi...mnapeana namba za simu...hapo hapo anakutext akiomba jina lako kule facebook...anakuadd as a friend...than unaaccept..saa sita mchana anakupigia simu ''uko wapi'' bila aibu anakuja tu...unamzamisha mjengoni...saa saba na nusu ivi mchana umeshamlala siku mingi yani...alaf in next 30mins anaanza kukuita ''dear''...

apo imagine hata zile normal working hours za mfanya kazi wa serikali hazijaisha....!

dem kama huyo siwezi hata kufikiria kuishi nae...

....na nusu!
 
Ha ha ha ukasubiri mpaka std 7??? We ni kiboko na hukulipata. Msudanizi yuko poa sana si unajua black color ndo zangu?/
 
sasa ivi dem unaonana nae kituo cha daladala saa mbili asubuhi...mnapeana namba za simu...hapo hapo anakutext akiomba jina lako kule facebook...anakuadd as a friend...than unaaccept..saa sita mchana anakupigia simu ''uko wapi'' bila aibu anakuja tu...unamzamisha mjengoni...saa saba na nusu ivi mchana umeshamlala siku mingi yani...alaf in next 30mins anaanza kukuita ''dear''...

apo imagine hata zile normal working hours za mfanya kazi wa serikali hazijaisha....!

dem kama huyo siwezi hata kufikiria kuishi nae...

....na nusu!

Ha ha ha Teamo bana unavituko weye masaa ya serikali unayamalizia mjengoni?? Hujambo lakini??
 
hahahahahahahahahaha ukiipata hii kipindi hicho daaaah lazima uende nayo mtoni kuwaonyesha washirika
 
sasa ivi dem unaonana nae kituo cha daladala saa mbili asubuhi...mnapeana namba za simu...hapo hapo anakutext akiomba jina lako kule facebook...anakuadd as a friend...than unaaccept..saa sita mchana anakupigia simu ''uko wapi'' bila aibu anakuja tu...unamzamisha mjengoni...saa saba na nusu ivi mchana umeshamlala siku mingi yani...alaf in next 30mins anaanza kukuita ''dear''...

apo imagine hata zile normal working hours za mfanya kazi wa serikali hazijaisha....!

dem kama huyo siwezi hata kufikiria kuishi nae...

....na nusu!

Ndo maana huwa siishi kukumbuka....

Mupo lakini?

Babu DC!!
 
hahahahahahahahahaha ukiipata hii kipindi hicho daaaah lazima uende nayo mtoni kuwaonyesha washirika

Hilo la jambo la kuwekwa kwenye kamati lilikuwa ninanikera sana.....

Kuna dada tulisoma pamoja Primary na alipoenda secondary tukawa tunawasiliana.....Ila siku moja alikuja na kituko eti marafiki zake wamekataa asiwe anaandikiana na mimi barua kwa sababu siyo wapenzi!!

Na mimi nikamuuliza kuwa, hao marafiki zako walitaka tuwe wapenzi??

Babu DC!!
 
hahahahahahahahahaha ukiipata hii kipindi hicho daaaah lazima uende nayo mtoni kuwaonyesha washirika

He ha ha ha ha hiyo raha sana tena mnasoma huku unajiona umependwa kwa sana aisee enzi zile raha mnooo
 
Back
Top Bottom