Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Acha kutuzinguia bana... zamani ulikuwepo wewe?simu zimekompliketi sana mambo...bora zamani!!
...bora zamani!!
Mzima wewe Dena Amsi?
Wale tuliopita enzi hizo tulifaidi sana na kupita shule za ukweli kwa kila idara!!
Naamini tunazohadithi za kuwasimulia wajukuu hadi wachoke..!!
Wenu awapendaye kwa sana......,
Babu DC!!
Mzima babu mie nipo majukumu ndo yananizidi umri.............
Mambo ya chini ya mwembe raha sana aisee ila ukisemewa kwa maza noma lake?????
Pole sana Dena Amsi!!
Huyo mgeni wako toka Southern Sudan hajambo? Gari analimudu?
Umenikumbusha mbali dada yangu....Kuna dada mmoja alinichokoza kwa kunitumia barua ya utani utani wakati nasoma darasa la 6 na yeye yuko la 4. Nilipojaribu kuongea naye kiutu uzima, akasema kuwa ngoja kwanza akamsimulie mama yake halafu atanipa jibu kesho yake....Kwa akili ya kitoto nilisubiri jibu hadi nikamaliza darasa la 7!!
Babu DC!!
sasa ivi dem unaonana nae kituo cha daladala saa mbili asubuhi...mnapeana namba za simu...hapo hapo anakutext akiomba jina lako kule facebook...anakuadd as a friend...than unaaccept..saa sita mchana anakupigia simu ''uko wapi'' bila aibu anakuja tu...unamzamisha mjengoni...saa saba na nusu ivi mchana umeshamlala siku mingi yani...alaf in next 30mins anaanza kukuita ''dear''...
apo imagine hata zile normal working hours za mfanya kazi wa serikali hazijaisha....!
dem kama huyo siwezi hata kufikiria kuishi nae...
....na nusu!

hahahahahahahahahaha ukiipata hii kipindi hicho daaaah lazima uende nayo mtoni kuwaonyesha washirika