Barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?

Ufafanuz tafadhali...kuna dogo anaangaika pia
Zamani ilikua kama wanataka uandike kwa mkono wanatoa maelekezo chini kwenye general rules.

Na hii niliiona kwenye posts za serikali za mitaa 2017 au 18 tangu pale sijawahi kukuta hayo maelekezo.

So nafikiri kama ana wasiwasi acheki maelekezo ila kama hawajaspecify waweza andika vyovyote kikubwa barua iwe imesainiwa.

Kama akishindwa kuisign PDF nishtue nimuelekeze
 
Sawa mkuu...asante
 
Mnisaidie...mi ni teacher jamen mbona mnatusemaga humu kwamba hatujui kiingereza.Nifafanulie bas mkuu...plzz

Subiri wapo waungeana wataokusaidia mama...

Ni ajabu Mtanzania huyu huyu atalalamika serikali yake haimsaidii, ajabu yeye anashindwa kutoa msaada kwenye jambo dogo lisilo na gharama yoyote
 
Marafiki naomba kuuliza.

Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft word??
Andika kwa Word lugha iwe sawa na km la tangazo ukishaandika Kwa word print sign then scan halafu attach

Kitu muhimu sign na ile yah: maelezo ya barua ni blah blah hamna anaye yatilia manani
 
Umetoa njia ya kusign ila inakula pesa na muda.

Ukishaifanya DOC kua PDF waweza isign online au kwa baadhi ya tools so unakua umesave pesa na muda.
 
Sikiliza Kwa sasa fanya typing tu utaumia huko kuandika Kwa mkono ila sehemu ya saini weka kama _____________________
Jina chini ili hapo juu kweny nafasi usaini Kwa mkono then scan
 
Subiri wapo waungeana wataokusaidia mama...

Ni ajabu Mtanzania huyu huyu atalalamika serikali yake haimsaidii, ajabu yeye anashindwa kutoa msaada kwenye jambo dogo lisilo na gharama yoyote
Asante sana mkuu,kuna kamanda kashanipa mwongozo tayari
 
Andika kwa Word lugha iwe sawa na km la tangazo ukishaandika Kwa word print sign then scan halafu attach

Kitu muhimu sign na ile yah: maelezo ya barua ni blah blah hamna anaye yatilia manani
Kuhusu lugha Huwa wanaspecify kwenye tangazo kama kwa kingereza au Kiswahili.. kikubwa aangalie tangazo wamespecify vipi
 
Back
Top Bottom