Barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?

Barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?

Kuhusu lugha Huwa wanaspecify kwenye tangazo kama kwa kingereza au Kiswahili.. kikubwa aangalie tangazo wamespecify vipi
Nachojua tangazo la kiingereza barua ya ya kazi iwe ya kiingereza, tangazo la kiswahili barua ya KAZI iyo ya kiswahili
 
Nachojua tangazo la kiingereza barua ya ya kazi iwe ya kiingereza, tangazo la kiswahili barua ya KAZI iyo ya kiswahili
Sikia mkuu, Utumishi Huwa wanaandika pale muongozo.. so kikubwa ufuate mwongozo wao kulingana na taangazo husika.. sio vitu vya kikatiri labda kwenye NGO inaweza ikawa hvyo
 
Barua unaweza kuandika kwa mkono au kutype muhimu ni signature tuu.
 
Kuna vitu ni basic lazima uvijue sio kuja kusumbua watu kama CAG



Yani mtu kutimiza wajibu wake anatakuwa Msumbufu?

Nachelea kuandika huenda wewe ni mpigaji mahala! [emoji14][emoji14][emoji848]

Sasa sijui itakuwa wapi je ni Halmashauri a.k.a mchwa au wapi?!
 
Umetoa njia ya kusign ila inakula pesa na muda.

Ukishaifanya DOC kua PDF waweza isign online au kwa baadhi ya tools so unakua umesave pesa na muda.
Hii ndo njia bora zaid
 
Barua yoyote ya kuombea kazi lazima uandike kwa kingereza, utype na uisign.... labda kama tangazo la kazi liseme vinginevyo.
 
Back
Top Bottom