Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ushakosa ajira.Marafiki naomba kuuliza.
Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft word??
Kumbe ndo ulivyoKwa miguu!
Usipojua mambo basic kama hayo ajira utapata wapi.Ufafanuz tafadhali...kuna dogo anaangaika pia
Kuna vitu ni basic lazima uvijue sio kuja kusumbua watu kama CAGKumbe ndo ulivyo
Mnisaidie...mi ni teacher jamen mbona mnatusemaga humu kwamba hatujui kiingereza.Nifafanulie bas mkuu...plzzUsipojua mambo basic kama hayo ajira utapata wapi.
Sawa ngoja nikausheKuna vitu ni basic lazima uvijue sio kuja kusumbua watu kama CAG
Zamani ilikua kama wanataka uandike kwa mkono wanatoa maelekezo chini kwenye general rules.Ufafanuz tafadhali...kuna dogo anaangaika pia
Sawa mkuu...asanteZamani ilikua kama wanataka uandike kwa mkono wanatoa maelekezo chini kwenye general rules.
Na hii niliiona kwenye posts za serikali za mitaa 2017 au 18 tangu pale sijawahi kukuta hayo maelekezo.
So nafikiri kama ana wasiwasi acheki maelekezo ila kama hawajaspecify waweza andika vyovyote kikubwa barua iwe imesainiwa.
Kama akishindwa kuisign PDF nishtue nimuelekeze
Mnisaidie...mi ni teacher jamen mbona mnatusemaga humu kwamba hatujui kiingereza.Nifafanulie bas mkuu...plzz
Andika kwa Word lugha iwe sawa na km la tangazo ukishaandika Kwa word print sign then scan halafu attachMarafiki naomba kuuliza.
Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft word??
Umetoa njia ya kusign ila inakula pesa na muda.Andika kwa Word lugha iwe sawa na km la tangazo ukishaandika Kwa word print sign then scan halafu attach
Kitu muhimu sign na ile yah: maelezo ya barua ni blah blah hamna anaye yatilia manani
Asante sana mkuu,kuna kamanda kashanipa mwongozo tayariSubiri wapo waungeana wataokusaidia mama...
Ni ajabu Mtanzania huyu huyu atalalamika serikali yake haimsaidii, ajabu yeye anashindwa kutoa msaada kwenye jambo dogo lisilo na gharama yoyote
Kuhusu lugha Huwa wanaspecify kwenye tangazo kama kwa kingereza au Kiswahili.. kikubwa aangalie tangazo wamespecify vipiAndika kwa Word lugha iwe sawa na km la tangazo ukishaandika Kwa word print sign then scan halafu attach
Kitu muhimu sign na ile yah: maelezo ya barua ni blah blah hamna anaye yatilia manani