Nachojua tangazo la kiingereza barua ya ya kazi iwe ya kiingereza, tangazo la kiswahili barua ya KAZI iyo ya kiswahiliKuhusu lugha Huwa wanaspecify kwenye tangazo kama kwa kingereza au Kiswahili.. kikubwa aangalie tangazo wamespecify vipi
Sikia mkuu, Utumishi Huwa wanaandika pale muongozo.. so kikubwa ufuate mwongozo wao kulingana na taangazo husika.. sio vitu vya kikatiri labda kwenye NGO inaweza ikawa hvyoNachojua tangazo la kiingereza barua ya ya kazi iwe ya kiingereza, tangazo la kiswahili barua ya KAZI iyo ya kiswahili
Mm niliwahi kuandika kwa Microsoft Word na Nika-sign Kwa application ya docu-sign. Na nikaitwa interview.Marafiki naomba kuuliza.
Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?
Ila watu mna moyo, binafsi kazi za kuajiriwa zilishanishindaga tayari
Ila watu mna moyo, binafsi kazi za kuajiriwa zilishanishindaga tayari
Kumbe ndo maana utoto mwingi JFMarafiki naomba kuuliza.
Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?
Unaweza andika kwa mkono au Microsoft,iwe kiswahili au kingereza,lakini lazima utie sahihi yako chiniMarafiki naomba kuuliza.
Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?
Kuna vitu ni basic lazima uvijue sio kuja kusumbua watu kama CAG
Hii ndo njia bora zaidUmetoa njia ya kusign ila inakula pesa na muda.
Ukishaifanya DOC kua PDF waweza isign online au kwa baadhi ya tools so unakua umesave pesa na muda.
Hv wasomaga threads zte umuNgoja waje kukupa muongozo...
Ndiyo ila chini ya dakika 3 nishasoma thread nzima...Hv wasomaga threads zte umu
Ok goodNdiyo ila chini ya dakika 3 nishasoma thread nzima...
Utumishi Huwa wanaweka kwenye tangazo as Swahili or EnglishBarua yoyote ya kuombea kazi lazima uandike kwa kingereza, utype na uisign.... labda kama tangazo la kazi liseme vinginevyo.
Download tangazo la ajira za Utumishi halafu somaaaa.Marafiki naomba kuuliza.
Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?