Barua za maombi ya kazi kuchanwa maofisini

Barua za maombi ya kazi kuchanwa maofisini

mimi kuna kipindi niliitwa kwenye interview nilivyoingia nikaulizwa "what is your good name?"nikajibu.nikaambiwa basi subiri nje tutakuita interview ya pili.baadae wakatoka wakaita watu watatu.sisi tuliobakia tukawa tumeshindwa interview.nilishangaa lakini pia nilicheka sana.

Mkuu BETLEHEM, Umetoa mpya hapo kwenye red.
 
Back
Top Bottom