Msafiri Duke
Member
- Oct 27, 2011
- 20
- 5
Hi, Barua za secretariat utumishi uma zinaandikwa kwa MKONO au TYPING. Msada.
Huandiki,c lazima
we unakurupukaga nini ebu soma vizuri ayo matangazo ya kazi maana maswali yote unayouliza yamo mule mule kwenye tangazo
tangazo lile la kiswail halijasema uandke wizara, bal kaz unayomba juu ya bahasha na kweoye kchwa cha habar cha barua..bt kuna m2 amecop tangazo la kngereza linalonyesha pia uandke na institutin thats y nimedata cz nshatuma maombi
kutajata au kutokuja sio kigezo. Upo sawa. Ondoa hofu.
tangazo lile la kiswail halijasema uandke wizara, bal kaz unayomba juu ya bahasha na kweoye kchwa cha habar cha barua..bt kuna m2 amecop tangazo la kngereza linalonyesha pia uandke na institutin thats y nimedata cz nshatuma maombi
Umetuma kwa njia gani. EMS au kawaida? Unaweza kuambiwa haijapokelewa!tangazo lile la kiswail halijasema uandke wizara, bal kaz unayomba juu ya bahasha na kweoye kchwa cha habar cha barua..bt kuna m2 amecop tangazo la kngereza linalonyesha pia uandke na institutin thats y nimedata cz nshatuma maombi
Umetuma kwa njia gani. EMS au kawaida? Unaweza kuambiwa haijapokelewa!