Barua za secretariat utumish wa uma zinaandikwa kwa MKONO au TYPING? Msada jamani.

na is it tru kwamba unandika pia sehem ambayo ungependa kufanyia kazi?
 
we unakurupukaga nini ebu soma vizuri ayo matangazo ya kazi maana maswali yote unayouliza yamo mule mule kwenye tangazo
 
tangazo lile la kiswail halijasema uandke wizara, bal kaz unayomba juu ya bahasha na kweoye kchwa cha habar cha barua..bt kuna m2 amecop tangazo la kngereza linalonyesha pia uandke na institutin thats y nimedata cz nshatuma maombi
 
kutajata au kutokuja sio kigezo. Upo sawa. Ondoa hofu.
 
tangazo lile la kiswail halijasema uandke wizara, bal kaz unayomba juu ya bahasha na kweoye kchwa cha habar cha barua..bt kuna m2 amecop tangazo la kngereza linalonyesha pia uandke na institutin thats y nimedata cz nshatuma maombi

Hata la kiingereza la tarehe 24 halikutoa maelekezo ya namna hiyo sema ndio hivyo yameshakukuta mkuu. Na hata hivyo mimi sioni namna mtu anaweza kuandika hii barua kikamilifu ikiwa maelezo yenyewe ndio yale.

Kazi kwa mfano ya Operator wa Computer, imeandikwa kwamba ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wizara ya ....., katibu mkuu wizara ya ......, katibu mkuu wizara ya ........, Halmashauri ya Wilaya ya ,,.......n.k, sasa kwenye Heading na kwenye bahasha unachagua wizara moja au halmashauri moja au la? (Haya ndio yatakayotukwamisha)
 
mimi nachojua ni kwamba unaandika kazi uliyoomba juu ya bahasha, ila kama wamekuambia uchague kituo cha kazi ndo unachagua e.g zile kazi za afisa tarafa walisema uchague mkao,lkn hizi za sasa habari ya kuchagua haipo
 
tangazo lile la kiswail halijasema uandke wizara, bal kaz unayomba juu ya bahasha na kweoye kchwa cha habar cha barua..bt kuna m2 amecop tangazo la kngereza linalonyesha pia uandke na institutin thats y nimedata cz nshatuma maombi
Umetuma kwa njia gani. EMS au kawaida? Unaweza kuambiwa haijapokelewa!
 
Kaka EMS? Basi hili jambo itabidi tukakope benki kulifanikisha. Tunaanza na ku-certify vyeti kwa mawakili 5000 each na umalizie na gharama za EMS ambayo inaweza kuwakera wanaofungua bahasha hapo kwenye tume kwani ni waswahili ambaoo wanaweza kuamua kukukomoa kwa sababu zao za kiswahili
 
Back
Top Bottom