Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wadau,
Kutokana na huyu rafiki angu kutokuwa na Kitambulish cha aina yoyote nimeamua kumshauri aangalie na option ya kuomba barua kutoka Serikali yake ya mtaa anayoishi.
Sasa wakuu naomba mwongozo kwa mtu aliyewahi kutumia hii option inakuwaje hyo barua na ni kweli utumishi wanakubali bila kipingamizi?
Jamaa kaitwa interview na anategemea kwenda Dom Soon Ila mambo ya utambulisho bado yanamuwazisha for now.
Karibuni