Barua za Serikali za Mitaa zinazokubalika Sekretarieti ya Ajira kama utambulisho

Kitambulisho nilicho nacho labda cha bima kinakubalika nacho ?
Mkuu ukijiona una mashaka na utambulisho ulio nao ni bora uende na barua ya utambulisho toka kwa watendaji, hebu fikiria upo kule UDOM wanakukatalia hiyo ID hatuitaki wanakuambia katafute barua ya utambulisho toka kwa mtendaji, na wakati huo watu ndo wanaingia venue! So ni vyema ukawa nayo tuu wakisema katafute barua unawatolea hii hapa kwisha kazi.
 
Sawa kiongozi
 
Back
Top Bottom