Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wadau,
Kutokana na huyu rafiki angu kutokuwa na Kitambulish cha aina yoyote nimeamua kumshauri aangalie na option ya kuomba barua kutoka Serikali yake ya mtaa anayoishi.
Sasa wakuu naomba mwongozo kwa mtu aliyewahi kutumia hii option inakuwaje hyo barua na ni kweli utumishi wanakubali bila kipingamizi?
Jamaa kaitwa interview na anategemea kwenda Dom Soon Ila mambo ya utambulisho bado yanamuwazisha for now.
Karibuni
Inaonesha hujaelewa mada mkuu.Mbona kwenye mfumo wa portal kuna kipengele cha kujaza NIN na kama hujajaza unakuwa huna vigezo vya kuomba nafasi ya kazi mkuu.
Huyo jamaa alipataje kazi Utumishi kama hana utambulisho wowote kiongozi...?
Inaonesha hujaelewa mada mkuu.
Hints are:-
•Jamaa hajaajiriwa
• Kumbuka kuwa watanzania wengi tuna namba za Nida Ila vitambulisho hatuna(pia fahamu yeye anayo namba ya nida na ndo maana kaomba kazi na kaitwa Usaili.
Hapa nilibase kwenye Utambuzi, maana kule hata ukienda lazima uwe na nyaraka yoyote inayokitambulisha
mm nipo nje ya mada kidogo vip leseni ya udereva wanaikubali kama kitambulisho maana matangazo yao wanatakaga kitambulisho cha kura,nida au hati ya kusafiri
Kwani dhambi Iko wapi.. fahamu kuwa sio Kila mtu Yuko interested na JF tena wengine hawaijui kabisa,, hii ni preference yangu tu kuja kuuliza on behalf Ila nilimpa nusu mwongozo kwamba hii issue ipo . Wadau wamethibitisha na nimemwambia jamaa kuwa afanye hvyo.Huyo rafiki yako yeye hawezi kuja jf kuomba msaada mwenyewe mpaka wewe ndiyo uje kumsemea?
Aende ofisi za kata kuna kitu kinaitwa kitambulisho cha mkazi wa eneo husika atapewa ni km buku 5 hiviKwani dhambi Iko wapi.. fahamu kuwa sio Kila mtu Yuko interested na JF tena wengine hawaijui kabisa,, hii ni preference yangu tu kuja kuuliza on behalf Ila nilimpa nusu mwongozo kwamba hii issue ipo . Wadau wamethibitisha na nimemwambia jamaa kuwa afanye hvyo.
Kama Kiko tofauti na barua si Bora aombe tu barua coz ni matumizi ya mara 1 tuAende ofisi za kata kuna kitu kinaitwa kitambulisho cha mkazi wa eneo husika atapewa ni km buku 5 hivi
Sawaa km hua wanatoa barua piaKama Kiko tofauti na barua si Bora aombe tu barua coz ni matumizi ya mara 1 tu
Acha bhange naniiHuyo rafiki yako yeye hawezi kuja jf kuomba msaada mwenyewe mpaka wewe ndiyo uje kumsemea?
Kaka vp, japo kua nipo njee kdogo ya mada, hivi hizi ajira zi wizara ukiomba ,je unaruhusiwa kuomba na za tamisemi endapo zikitoka,Inaonesha hujaelewa mada mkuu.
Hints are:-
•Jamaa hajaajiriwa
• Kumbuka kuwa watanzania wengi tuna namba za Nida Ila vitambulisho hatuna(pia fahamu yeye anayo namba ya nida na ndo maana kaomba kazi na kaitwa Usaili.
Hapa nilibase kwenye Utambuzi, maana kule hata ukienda lazima uwe na nyaraka yoyote inayokitambulisha
Unaomba bila shida, c unajua tena Bongo tumekuja kuhangaikaK
Kaka vp, japo kua nipo njee kdogo ya mada, hivi hizi ajira zi wizara ukiomba ,je unaruhusiwa kuomba na za tamisemi endapo zikitoka,
Ile ni Barua unaandikiwa na kupewa hapohapoYaan kinatengenezwa papohapoa..?
Kitambulisho nilicho nacho labda cha bima kinakubalika nacho ?Nasikia inakubalika Ila Huyu kijna hajui hata kuendesha gari[emoji16]..So option hapa ni kuhangaika ili apate barua tu ya Serikali ya mtaa