Barua za uhamisho kutoka TAMISEMI kwenda mkoani inaweza tumika kukuhamisha?

Barua za uhamisho kutoka TAMISEMI kwenda mkoani inaweza tumika kukuhamisha?

Joined
Sep 12, 2020
Posts
53
Reaction score
42
Habar za mda huu wadau,

Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa.

Ikawa kimya miezi nikaamua kwenda halmashaur kuulizia chenga zikawa nyingi saana hatimaye mwsho wa siku ps akaniambia, ameona tu barua yangu ya kutoka mkoan ikiwa imesainiwa na mkurugenzi lakin ya kutoka tamisem hawajaiona wanasubiri, ila akasema ils angeiona kabla angetoa copy ili moja ibaki na angeniita.

Sasa wadau naomben ushauri wenu maana naona kama kuna mchezo

Je hayo aliyoniambia ps ni ukwel? Kuwa mpaka waione ya tamisem? Na je hiyo ya mkoan haiwezi kufanya.
 
Mbona utumishi kama walidai kila kitu kwenye mfumo na barua inapatikana kupitia mfumo baada hii pepmis kuanza kazi jaribu kupiga call centre ya utumishi kabla haujaenda uwaelezee
 
Mbona utumishi kama walidai kila kitu kwenye mfumo na barua inapatikana kupitia mfumo baada hii pepmis kuanza kazi jaribu kupiga call centre ya utumishi kabla haujaenda uwaelezee
Wapumbavu tu hawaeleweki hao utumishi
Ni laana kuzaliwa mtu mweusi
Delays delays mpaka watu wanakata tamaa
 
Ilitolewa copy ile ya mkoani mkurugenz akasain bac nikaitiwa hiyo nikafungasha data nikaondoka
mimi ndie nilikusaidia ilitolewa copy wapi...unahisi bila taarifa zako za uhamisho kuingizwa kwenye mfumo nani atakuelewa huko mkoani kituo kipya unapoenda......
 
Back
Top Bottom