NANSOR WA RYMEZ
Member
- Sep 12, 2020
- 53
- 42
Wapumbavu tu hawaeleweki hao utumishiMbona utumishi kama walidai kila kitu kwenye mfumo na barua inapatikana kupitia mfumo baada hii pepmis kuanza kazi jaribu kupiga call centre ya utumishi kabla haujaenda uwaelezee
Sawaa mkuu, ila nan huyu?mtafute huyu mkuu akupe msaada +255710934468.
BBMHuko bongo Kuna kitu Gani kilishafaulu?
Wapumbavu tu hawaeleweki hao utumishi
Ni laana kuzaliwa mtu mweusi
Delays delays mpaka watu wanakataSaaana yani basi, kuanzia juu mpaka kwa wakurugenzi wanaficha vibaliWapumbavu tu hawaeleweki hao utumishi
Ni laana kuzaliwa mtu mweusi
Delays delays mpaka watu wanakata tamaa
Tuambie umefanikiwaje..?Feedback: jaman nilifanikisha kupata uhamisho, ahsanten kwa ushaur
Ilitolewa copy ile ya mkoani mkurugenz akasain bac nikaitiwa hiyo nikafungasha data nikaondokaTuambie umefanikiwaje..?
mimi ndie nilikusaidia ilitolewa copy wapi...unahisi bila taarifa zako za uhamisho kuingizwa kwenye mfumo nani atakuelewa huko mkoani kituo kipya unapoenda......Ilitolewa copy ile ya mkoani mkurugenz akasain bac nikaitiwa hiyo nikafungasha data nikaondoka
Ahsante kakamimi ndie nilikusaidia ilitolewa copy wapi...unahisi bila taarifa zako za uhamisho kuingizwa kwenye mfumo nani atakuelewa huko mkoani kituo kipya unapoenda......