KERO Responded Barua za Uhamisho TAMISEMI kwa sasa hazisainiwi na Ofisi ya Katibu Mkuu?

KERO Responded Barua za Uhamisho TAMISEMI kwa sasa hazisainiwi na Ofisi ya Katibu Mkuu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

monte caro

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
28
Reaction score
30
Habari, kuna tatizo naona since November 2025 barua za mwisho kutoka hadi sasa kuna strikes imewekwa kuzuia barua ambazo tayari ziko ofisi ya katibu mkuu kuto sainiwa ikisemekana uhamisho wote umezuia na waziri mwenye dhamana.

Sisi tulioajiriwa mikoani na tunafamilia ziko mbali na sisi ndoa zinaharibiwa, unakua unawaza familia muda mwingi kuliko kazi. Tafadhali fatilia kujua undani wa hili kwasababu ni miezi 4 sasa tokea barua za mwisho kutoka Mwaka jana November 2025.

Pia soma ~ Juma Mkomi: Kuzuia barua za uhamisho wa Mtumishi ni uhalifu, Hilo si jukumu la Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi
 
Sema bax tu..bunge lingetungq sheria ijulikne kabisa kuwa hakuna kuhama ukiajiriwa serikalini..watu wajue moja basi.
 
Katibu mkuu anaumiza watumishi,hatendi haki jukumu hili limemshinda.
 
Back
Top Bottom