Habari, kuna tatizo naona since November 2025 barua za mwisho kutoka hadi sasa kuna strikes imewekwa kuzuia barua ambazo tayari ziko ofisi ya katibu mkuu kuto sainiwa ikisemekana uhamisho wote umezuia na waziri mwenye dhamana.
Sisi tulioajiriwa mikoani na tunafamilia ziko mbali na sisi ndoa zinaharibiwa, unakua unawaza familia muda mwingi kuliko kazi. Tafadhali fatilia kujua undani wa hili kwasababu ni miezi 4 sasa tokea barua za mwisho kutoka Mwaka jana November 2025.